Madai Ya Madaktari ni NINI?

Jan 21, 2012
8
0
Ndugu kwa unyenyekevu naomba mwenye data anipe kwa faida ya wasiojua ukweli kuhusu Madaktari waliogoma wanataka nini hasa mpaka serikali imeshindwa kutekeleza madai yao,KUNA JAMBO KUMBWA HAPA SI BURE. Wagonjwa wanaendelea kupoteza maisha siku hadi siku hawa jamaa na serikali yao hawaelewani,ni nini hasa anbacho hawaelewani. Kwa nyongeza tu naomba kuuliza tu kima cha chini cha daktari ni TZS ngapi per month?
 
aliyelala usimwamshe ukimwamsha utalala wewe. Ni vigumu kuamini kwamba ulilala hii ni wiki ya pili ya mgomo huo na hujui sababu. Yamkini husikii vizuri.
 
Wanapinga nauli mpya za kivuko na kupiga mbizi hawawezi!!hivyo eti wanataka vivuko binafsi kila mtu apewe chake mwenyewe duh!!kweli vichwa vingine butu. Huko kwenu redio hazifiki? au??
 
Ndugu kwa unyenyekevu naomba mwenye data anipe kwa faida ya wasiojua ukweli kuhusu Madaktari waliogoma wanataka nini hasa mpaka serikali imeshindwa kutekeleza madai yao,KUNA JAMBO KUMBWA HAPA SI BURE. Wagonjwa wanaendelea kupoteza maisha siku hadi siku hawa jamaa na serikali yao hawaelewani,ni nini hasa anbacho hawaelewani. Kwa nyongeza tu naomba kuuliza tu kima cha chini cha daktari ni TZS ngapi per month?
duh. mkuu. huoni magamba yanapiga ucngz bngen na yanalipwa lak 2, lkn daktari anaokoa waTZ analipwa wekundu wa msimba?
 
duh. mkuu. huoni magamba yanapiga ucngz bngen na yanalipwa lak 2, lkn daktari anaokoa waTZ analipwa wekundu wa msimba?

Aache uvivu kidogo zipo thread nyingi zinazozungumzia madai ya madokta. Lakini kwa ufupi ni maslahi.
 
Nahisi umelala wewe na hujasoma vizuri swali ndugu, hizi si zama za mipasho na misemo ya wahenga kama huna cha kusema u better keep ur stinking mouth SHUT
 
Aache uvivu kidogo zipo thread nyingi zinazozungumzia madai ya madokta. Lakini kwa ufupi ni maslahi.

Sawa kama ni maslah ila bado hamjanipa data nazotaka,nachotaka kujua ni kwa nini maslah,wanalipwa kiasi gani sasa na wanataka kiasi gani kiongezwe na kwa vigezo vipi?
 
Wanapinga nauli mpya za kivuko na kupiga mbizi hawawezi!!hivyo eti wanataka vivuko binafsi kila mtu apewe chake mwenyewe duh!!kweli vichwa vingine butu. Huko kwenu redio hazifiki? au??

What i need here is proven FACTS sio propaganda,sitaki mtu aniingize mkenge hapa.Sijauliza kuhusu posho za wabunge wala nauli za vivuko jamani hivi nyinyi hamnazo au?
 
You're really an intelligent idiot.

The function of education is to teach one to think intensively and to think critically. Intelligence plus character - that is the goal of true education.
My friend which school did go? A fool doesn't admit his foolishness,but If He does then He is Intelligent,I am way more intellignt than u Clemmy.
 
Jamaa ana point! Wengi mmeshatekwa na propaganda za serekali na watu wake, kinachodaiwa hapa si maslahi peke yake, wanadai kuboreshwa kwa mazingira ya kufanyia kazi! Wanadai waliofariki kwa mgomo ni cha mtoto kulinganisha wanaofariki kila siku kutokana na mazingira mabovu ya kazi!
 
Back
Top Bottom