Lakini tusiwalaumu tu walimu, je serikali imezingatia chaguo la mwalimu sehemu iliyompangia? kwasababu mwalimu huyu alipewa fomu ya kujaza mikoa mitatu ya kufanyia kazi, hivyo basi mwalimu huyu akipangiwa sehem aliyoomba hawezi kuomba kubadili tena. kama serikali haizingatii mapendekezo basi...
kuhusu kufeli ka kwa wanafunzi sababu ni nyingi kama walivyoziainisha walio wengi, Ila serikali isijidanganye kuwa kuongeza idadi ya walimu tu mashulen ndio kutawafanya vijana wafaulu. Kwakweli ukweli ni kwamba walimu wengi wa shule za serikali hasa za sekondari wapo katika mgomo uliotangazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.