Search results

  1. F

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mkuu umeniongezea UJANJA....Nilifuga kuku wa mayai na nyama kwa mafanikio makubwa sana.mambo niliyozingatia ni kama hayo uliyoyaeleza.pia kuna tiba mbadala nyingi nilikuwa sizijui ndo nimezijua toka kwako.MUNGU AKUONGOZE MKUU!UMETISHA.
  2. F

    tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

    Mkuu hongera kwa maujanja!Ungekuwa mnyimi usingesema chochote.Nami sasa naenda kununua modem!Ya zantel inakubali hayo maujanja?
  3. F

    200 Wakamatwa Kariakoo kwa Uzembe na Uzururaji

    Hawa POLISI WAPUMBAV SANAA.NADHANI WAMEKOSA KAZI.KUNA WENGINE HUENDA JARIAKOO KUSHANGAAA.MFANO MIMI.INA MAANA TUSITEMBEE KATIKA MJI WETU?nadhani ni bnra wakaleta vitambuLISHO ILI TUHESHIMIANE.CCM NA SERIKALI YAKE NI WATATA SANA......BADO KODI YA KICHWA NA KIPANDE Cha BAISKELI VITARUD
  4. F

    Habari zenu wakuu!

    Mchana nilikuwa namuogopa MS...nimeamua nijitupie JF...kitambo naifuatilia ila sasa nimeguswa kuchangia mada mbalimbali ASANTE MKUU
  5. F

    Noti mpya ni Ufisadi mwingine? Nani awajibike?

    Jk ana kazi kwel kwel
  6. F

    Habari zenu wakuu!

    Hodi jamani!
Back
Top Bottom