Search results

  1. M

    Blackberry inauzwa

    Habari wanajf! Kuna blackberry curve 9360 latest inauzwa imetumika kwa miezi miwili bei ni 560000 if interested ni pm! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  2. M

    Natafuta field

    Habari zenu wana jf, mimi ni mwanafunzi wa diploma of insurance and risk management mwaka wa kwanza IFM, natafuta nafasi ya kufanya field kwenye insurance compamny yeyote. Natanguliza shukrani.
  3. M

    Naomba ushauri na tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

    Nina mtoto wa miezi tisa ila ana mafua nimpe dawa gani ili apone? Msaada please!
Back
Top Bottom