Search results

  1. mwakaf

    Asante sana IPP Media - ITV, Radio one, Capital radio

    Mkuu naomba uweke link hapa nami niangalie.Maana nimejaribu kusearch youtube sijapata.
  2. mwakaf

    Navunja ukimya: Hata mimi na mama Ngina huwa tunapeana za uso...!

    Asante sana Mtambuzi nami nimepata kitu kwenye hii topic yako
  3. mwakaf

    Mtambuzi miye: Maswahibu yaliyonikuta wiki iliyopita

    Pole sana kaka Mtambuzi.kwenye hilo tukio lako nimejifunza vitu vingi sana
  4. mwakaf

    Jee Mabenki Wanajali?!. Shuhudia Jinsi Benki ya CRDB Lumumba, Inavyowajali Wateja/Wagonjwa/Jamii.

    jamani kwa maelezo ya mtoa mada hiyo ilikuwa "event" ya tawi la Lumumba na siya bank nzima.kuhusu kufanya matukio mengi mbona CRDB bank imefanya kwa mfano kufanya ukarabati katika hospitali ya Rufaa Morogoro na hospitali ya wazazi Meta mkoa wa Mbeya.
  5. mwakaf

    Uhusiano uliopo kati ya kufikiri kwetu na afya mgogoro

    Yaani umeeleza vizuri sana.watu wote tungekuwa tunafikiria vitu chanya nadhani ugomvi ungekuwa ni mchache sana kwenye haya maisha.
  6. mwakaf

    Mapenzi haya yatanishinda

    kama huwa haukaguwi simu yake na wala haujawahi kusema kuhusu kuolewa. Lakini ameisha kula mzigo basi ujue alikuwa anakutami au kuna kitu anacho ila hataki kukuambia VIP MZIGO AMEISHA KULA?
  7. mwakaf

    Mapenzi haya yatanishinda

    Mi nimeshangaa yaani ndani ya miezi miwili unataka "password" ya Facebook inaonekana na simu yake unapenda ukague kuna nini na nawasiliana na kinani.Alafu inaonekana unataka akuambie ataoa lini
  8. mwakaf

    Wanafunzi wa boarding;kama mnapika mkirudi unakuta wamekusaidia wenzio-tumia dulucolax

    umenichekesha sana na mawazo yangu yote yamepotea.Mi naomba uje na stori nyingine kama ipo
  9. mwakaf

    Naomba kwenye mfano wa cover letter

    hiyo cover letter ya kitu gani maana haujaeleweka. au mi ndiyo sijaelewa
  10. mwakaf

    Mambo ambayo wanaume tunakosea wakati wa kutongoza

    Invisible njoo huku kuna mtu anavunja sheria
  11. mwakaf

    Msaada jaman kwa watalaam wa magari yamenikuta

    pole sana.Hapo angalia vitu viwili navyo ni plug na ignition coil kama ziko vizuri.Kama vitu hivyo viko poa je ulibadilisha lini oil ya gear box.Hawa mafundi usipokuwa makini watakuambia mambo mengi mara hiki mara kile ni bora uende kwenye gereji ya uhakika ambayo wanatumia computer kuchek...
  12. mwakaf

    Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    unayo sema ni ya kweli nasikia amezaa na mkuu wa mkoa mmoja ndiyo inampa jeuri.lakini nadhani huyo askari angempa ya mguu ashindwe kutembea kabisa
  13. mwakaf

    CRDB tupia macho wizi huu

    wewe umeenda na kadi ya Bank ipi? kama hiyo kadi ya bank nyingine ( yaani siyo CRDB Bank) sheria inasema usubiri siku 45 na utaenda bank yake huko kutoa maelezo yako na kujaza form ya madai
  14. mwakaf

    Hapa ukioa lazima uvunjwe

    mhitimu wa mafunzo ya awali ya askari Polisi akijiandaa kuvunja vigae kwa kupinga ngumi jana jiji Moshi alipokuwa akifanya onyesho la kukakamavu
  15. mwakaf

    Crdb namba hii 0755197700 ni yenu?

    Labda jaribu kupiga kesho maana namba hiyo ndiyo hutumika kama kadi yako imeibiwa au kupotea kuweza kuifunga iziweze kutumika Please be informed that on 20th July 2013 the Millennium Tower owners will fumigate the building where our Call Centre operates. In view of this, the Call Centre will...
  16. mwakaf

    Crdb namba hii 0755197700 ni yenu?

    kweli hizo namba ni za CRDB Bank PLC call center. Tumia namba hizi za hotline 0754557788 unaweza kusaidiwa
  17. mwakaf

    Mtaalam wa magari nisaidie hii taa ya check engine kuwaka nini?

    Nami yangu huwa inawaka naomba nielekeze wanapofanya hivyo
  18. mwakaf

    msaada kuhusu usajili na stika za magari

    na wakati mwingine Trafiki akiona hizo stika zote unazo, naanza kukuomba uonyesha 'First AID kit'
  19. mwakaf

    CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

    Habari yako dada. mpaka sasa mmeshinda kata ngapi? Nadhani habari ya mjini umeshaipata
  20. mwakaf

    Mtoto kutolewa nje siku arobaini baada ya kuzaliwa.

    hizo ni imani tu wala hazina msingi wowote mbona mi kwangu nilimtoa wala hakuna kitu chochot
Back
Top Bottom