Jamani, habari zenu wa jf ; nimerudi tena ,maana wanasema mambo mazuri hayataki haraka na subira huvuta heri!ni mimi kijana wa early 30's, nipo dom ,nahitaji mke msomi angalau form six,awe mweupe (si mkorogo)mwenye umbile la kuvutia,mkristo wa kweli,mwenye tabia njema asizidi...
i wish to ,but there are things we need to talk aside not on the forum!just get into my email.i mean we can each other interests more in private ,this is natural insn't it?
we are all Tanzanians, everybody knows that because we are black we love the white girls among us,but not necessarily muzungu hiyo ngumu mno kupata dada!
mimi ni kijana wa miaka 32 i am at dodoma ;i really want a wife .a dream woman aged between 20 and 23 she should not be less than form six graduate and she should be white well figured and agood believer of JESUS CHRIST, PLEASE A GOOD BELIEVER OF JESUS CHRIST. naomba mwenye nia na sifa hizo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.