Natafuta mke wa maisha -2

watson.

Member
Jan 12, 2012
10
0
Jamani, habari zenu wa jf ; nimerudi tena ,maana wanasema mambo mazuri hayataki haraka na subira huvuta heri!ni mimi kijana wa early 30's, nipo dom ,nahitaji mke msomi angalau form six,awe mweupe (si mkorogo)mwenye umbile la kuvutia,mkristo wa kweli,mwenye tabia njema asizidi miaka 25.aliyetayari kwa mawasiliano anaweza kunitafuta kwa amishekeli@gmail.com.:violin:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom