Search results

  1. M

    Dodoma mjini- bei za frem ya biashara

    Habari wakuu, napenda kufahamu bei za frem za biashara dodoma zinaendaje . Biashara kama 1. Furniture 2. Mapazia, mashuka, godoro, neti, 3. Hardware ... Napenda kufamu bei za frem na mzunguko wa biashara wa hivyo vitu Pia kupata experience ya dodoma palivyo kwa biashara .. Ahsanten[emoji120]
  2. M

    Kigamboni Kisota vs Kibada, Wapi pako poa?

    Habari wapendwa, niliwahi uliza kati ya Goba & Kigamboni wapi pako poa. Kutokana na uwepo wa jamaa zangu wengi maeneo ya kigamboni, nimeamua kwenda huko. Sasa kisota na kibada ndo napawaza maana bei maeneo hayo zinaonekana hazipishani sana Kwa uzoefu wenu kisota na kibada wapi panaFaa zaidi...
  3. M

    Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

    Msaada wa kimawazo Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi. Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri. 1. Bei za viwanja 2. Huduma za kijamii 3. Usalama 4. Wapi ni potential 5. Na mengineyo Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana .. Natanguliza...
Back
Top Bottom