Search results

  1. Mzee Wa Kazi Chafu

    Full Time| NBC Premier League | Young Africans 2 - 0 Polisi Tanzania | Benjamin Mkapa Stadium |

    All The Best Dar Es Salaam Young Africans. [emoji110]
  2. Mzee Wa Kazi Chafu

    FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

    Yeeees! Karibuni Sana Wapenzi Wa Soka, Wapenzi Wa NBC Premier League Ama Kwa Hakika Leo Juni 15, 2022 Inapigwa Mechi Kali Hapa, Mechi Dume Kati Ya Dar Es Salaam Young Africans Dhidi Ya Coastal Union Wana Mangushi Ama "Wagosi Wa Kaya". Ni Mechi Yenye Umuhimu Mkubwa Baina Ya Timu Zote Kupata...
  3. Mzee Wa Kazi Chafu

    NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

    Naam! Karibuni Sana Wapenzi Wa Soka Na Wapenzi Wa NBC Premier League Ama Kwa Hakika Leo Mei 23, 2022 Itapigwa Mbungi Hapa Kati Ya Biashara United Mara Ama Wanajeshi Wa Mpakani Wakiwaalika Dar Es Salaam Young Africans Ni Mchezo Wenye Umuhimu Mkubwa Baina Ya Pande Zote Mbili, Biashara United...
  4. Mzee Wa Kazi Chafu

    Yanga tunatangaza Rasmi Ubingwa Kwenye Mechi zetu dhidi ya Azam pamoja na Simba

    Wananchi Najua Mnajua Tutakachokifanya Kwenye Mechi Hizo Ni Rasmi Tutangaza Ubingwa Hapo Wale Wanaokaza Vichwa Na Kuleta Ubishi Wa Ukoo Na Matokeo Yao Ya Kimazoea Kila Msimu Wana Salamu Zao Kutoka Kwa Mzee Wa Kutocheka Na Kima Mbele Nyavu Mtaalam Fiston Kalala Mayele [emoji460] Amesema...
Back
Top Bottom