Search results

  1. Kayabwe

    Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? May mosi ibakaribia.

    Tumeisha pigwa naona kwani mwezi huu wa nne hakuna chochote
  2. Kayabwe

    Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? May mosi ibakaribia.

    Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
  3. Kayabwe

    Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? May mosi ibakaribia.

    Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
  4. Kayabwe

    Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

    Mtatupa update wengine hatutaweza kuwa hewani.
  5. Kayabwe

    Posta ilivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

    Hawa shirika lao mama sialisema lifutwe?
  6. Kayabwe

    Mei Mosi ndo hiyooo! TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeko la mishahara

    Naomba TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeka la mishahara Kwa wafanyakazi mwaka huu. Mnakumbuka Mama alitangaza jambo letu kwa mbwembwe tukapigea na kitu kizito. Tusije lia tena jamani. Hatutaweelewa.
  7. Kayabwe

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Nakuanda ushahidi au vielelezo feck!!
  8. Kayabwe

    Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani, anatumia usafiri wa ndege tu, gharama zikoje hapa

    Uchumi wa Kati uchumi mama leo amesema umeshuka na hataweza ongeza mishahara!!!
  9. Kayabwe

    Rais Mama Samia Suluhu asipokuwa makini 2025 CCM itaondolewa madarakani

    Kulikuwa nanini mkuu juzi Hadi furaha?
  10. Kayabwe

    Walioko jikoni tujuze kama kuna ongezeko la ugali mwezi huu was bajeti mpya!!Nadhan payrall zimetoka!!

    Tunaomba tujulishwe kama raisi wa wanyonge amewakumbuka wafanyakazi ambao nao ni wanyonge!Tangu aingie madaraksn miaka 4 sasa hola!
  11. Kayabwe

    Hawa hapa Wajumbe Kamati ya Bunge-Haki, Maadili na Madaraka

    Utafikiri NEC kuu ya ccm;!? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kayabwe

    Baada ya kupotea majimboni sasa wameanza kwenda kutafuta kura

    Kweli we umetumwa na wamagogoni!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kayabwe

    Mahakama ya Kisutu imegoma kumfutia dhamana Tundu Lissu baada ya Jamhuri kuomba afutiwe

    Wataangaika sana lkn Lisu hawatamuweza!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kayabwe

    Inasikitisha: Matokeo ya Elimu BURE ambayo ambayo hakuna Media house tangible Tanzania ya kuyaonesha

    Na hyo kidogo shule huenda IPO maeneo ya mjini!!Ukienda pembezoni vijijin hari ni hatariii sana!! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kayabwe

    Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Yeye umri mbona umeenda na bado yupo serikalini??Au nae muhanga!!
  16. Kayabwe

    Nahitaji mwalimu wa general studies

    Mimi nipo vzr sana kwa GS,nicheki via 0756435750
Back
Top Bottom