Search results

  1. mkwapuaji

    Tanzania ya wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima

    Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana na uwepo wa rasilimali za kutosha au maamuzi binafsi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. mkwapuaji

    Wabunge wa bunge la Tanzania wanajua wajibu wao?

    WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI? Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda. Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
  3. mkwapuaji

    Kwanini wabunge wanapaswa kuwa madiwani...

    Mfumo wa kupata mwakilishi wa kibunge Tanzania ni mfumo huru lakini wenye kumnyima mwananchi fursa halisi ya uwakilishi. Hii inajidhihirisha na wingi wa wabunge ambao hugombea ubunge pasi hata a kuifahamu historia ya jimbo lao la uwakilishi Leo nimeona ipo haja ya kubadili mfumo wa kuwapata...
  4. mkwapuaji

    Siasa na uhalisia wake kwa mwanasiasa

    SIASA NA UHALISIA WAKE KWA MWANASIASA Habari za jioni watanzania wenzangu na hongereni kwa mijadala myema a kisisa na kiafya hasa wakati huu wa COVID19 Siasa maana yake ni mfumo huru wa kumpata mtawaliwa au mtawaliwa kwa njia ya makubaliano au ya kutokukubaliana na huusisha watu wa jamii moja...
  5. mkwapuaji

    Kiswahili ni Ishara ya kujikomboa kifikra Watanzania

    Kwa mfumo huu wa elimu usiowafanya watu kufikiri ni vigumu sana kumwelewesha mru umuhimu wa kiswahili akuelewe. Vijana wanashindana kukariri masomo na kuyatapika kwenye mitihani na mbobezi basi ndio huwa kinara. Tunasahau kuwa elimu inatakiwa ikukomboe kifikra, kiufanisi na hata kimahusiano...
  6. mkwapuaji

    Kiswahili ni Ishara ya kujikomboa kifikra Watanzania

    Kwa mfumo huu wa elimu usiowafanya watu kufikiri ni vigumu sana kumwelewesha mru umuhimu wa kiswahili akuelewe. Vijana wanashindana kukariri masomo na kuyatapika kwenye mitihani na mbobezi basi ndio huwa kinara. Tunasahau kuwa elimu inatakiwa ikukomboe kifikra, kiufanisi na hata kimahusiano...
  7. mkwapuaji

    Siasa za Tanzania na kufuru ya ufananisho wa mbinguni

    Wana jamvi habarini za muda huu... Naomba niweke dukuduku langu kwa siasa za Tanzania za sasa ambazo zimeanza kunifanya nijitathmini kiimani. Kama wengi mnafuatilia mtaona kuna kauli nyingi za kumnenea kiongozi wetu mambo asiyoyanena ama yatakayomfanya aikufuru imani yake. Hii ni hasa baada ya...
  8. mkwapuaji

    Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?

    Wapo watu wangu wanaowaita hawa wahisani, wengine wakiwaita washika dau wa maendeleo, wakoloni au hata wapo wanawaita mabeberu. Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?
  9. mkwapuaji

    Tuamke sasa kwa vitendo Afrika

    Habari Tanzania..🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Changamoto zinazotukumba mataifa yanayoendelea Tanzania ikiwemo tusilaumu katu kuwa yanasababishwa na mataifa makubwa. Yapo mambo ambayo huwa tunayatenda nchini mwetu ambayo yanatoa nafasi ya kuingiliwa kimaamuzi na kutufanya kuendelea kuwa duni. Mosi; Sisi wenyewe sio...
  10. mkwapuaji

    Ukiwa na Passport tu nchi za SADEC na EAC mtaingia bila VIZA.

    Tumekamata wanahabari wawili walioingia nchini na kufanya kinyume na matakwa ya viza zao. Hongera sana wasimamizi wa sheria hii.
  11. mkwapuaji

    Mangungo wapo Afrika

    Tatizo sio ukopaji au tatizo sio misaada ya China. Misaada ni moja ya mitaji ambayo serikali zinaweza kuitumia kwa shughuli zozote zile za kiserikali kwa jamii. Wote tunafahu ulaghai wa misaada inayotoka kwa mabeberu au mawakala wa mabeberu kama WB, IMF n.k hivyo kuja kwa wadau wa maendeleo...
  12. mkwapuaji

    Hadithi ya mkulima mpumbavu

    HADITHI YA MKULIMA MPUMBAVU Kwa tuliowahi kulima au kuishi maeneo ya kilimo mtakubaliana na usemi wa 'Shamba aliandae mpanzi' ikiwa na maana ya mkulima aliyeandaa shamba basi ndiye atakayepanda. Kulikuwako na mkulima mmoja mpumbavu asiyetambua thamani ya upumbavu wake kwa matokeo ayapatayo...
  13. mkwapuaji

    Tuseme yatosha sasa kuinufaisha Kenya

    Tanzania tuseme yatosha kuburuzwa na Kenya kwa mazao ya kilimo. Tuifanye Tanzania iwe Tanzania kwa sasa. Hivi tumeacha biashara yetu ikatawaliwa na Kenya kwa makusudi au ni bahati mbaya, hasa ya kupeleka mazao ya kilimo nje ya nchi na bara la Afrika. Bei za mazao yetu ya kilimo zinapagwa na...
Back
Top Bottom