nimevutiwa sana na thread mbalili mbali mnazozimwaga humu janvini, nimeamua kujiunga nanyi ili niweze kujifunza mengi zaidi na kuchangia mada mbalimbali kwa yale ninayoyafahamu. heri ya mwaka 2012.:flypig:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.