hi wanajf

shakizulu

New Member
Jan 4, 2012
1
0
nimevutiwa sana na thread mbalili mbali mnazozimwaga humu janvini, nimeamua kujiunga nanyi ili niweze kujifunza mengi zaidi na kuchangia mada mbalimbali kwa yale ninayoyafahamu. heri ya mwaka 2012.:flypig:
 
Karibu ila umesoma Rules and Regulations? Usitishwe huu ni mtandao wa kila mtu kinachoangaliwa hapa ni hoja wala si vioja.
 
Hatutaki ushabik, kama hyo tabia unayo bc anza safar ya kurud ulkotoka,
 
Shakizulu Karibu saan hapa JF na mchango wako wahitajika sana tu.

Enjoy.
 
Back
Top Bottom