Search results

  1. Chimama

    Kigamboni usafiri tabu tupu

    Wananchi wa Kigamboni tuliridhia ujenzi wa barabara ya magari ya mwendokasi ambao umezuia daladala kufika ferry lakini sasa kero ya usafiri imetuzidi. Mara askari wa kutoka Mwanza kumuaga bosi wao wakaanza kukamata bajaji for no reason whatsoever...tukapata shida wakaondoka...last week askari...
  2. Chimama

    Kupandisha gari kwenye Kivuko cha Kigamboni bila kupanga foleni

    Wakuu, kwa uelewa wangu lile geti la free pass lina not more than 10 groups ambao ndio wako entitled kuvuka..i.e. DC, Mkuu wa Mkoa, Mawaziri, Manaibu, Ambulances, Mbunge na yule mkuu wa chuo cha mwl Nyerere...STJ or STK haziruhusiwi kupita free pass sijui wanafanyaje hadi wanapita ila naona huwa...
  3. Chimama

    Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    Walifika na gari kwenye mabanda yangu ya kuku, wakamkuta kijana..wakasema wanataka kuku 100..wakalipa 450,000 lakini kesho yake tukagundua waliondoka na broiler 500 kwa laki nne na nusu badala ya 100...tulipofuatilia walifanyaje..tukaambiwa wanatumia uchawi. We have been careful since then...
  4. Chimama

    Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

    'We have nothing to fear for the future unless we forget how God has led us in the past'
  5. Chimama

    Mawasiliano tiGO yakatika; haki ya mtumiaji iko wapi?

    Mkuu I pad3 please update us as to when the network will be back and running...they should have a back-up system. They also need to apologize for the inconvenience caused..actually its more than an inconvenience its loss caused..more than 6hrs without network..absurd!!
  6. Chimama

    Zena wa TTCL Customer Service yake Hovyo - Soma haya majibu!

    Huyu dada ameshanikatia simu mara tatu..the first time she had me on hold for more than 13 minutes then hang-up, second time she just did it after I introduced myself and the third time she didnt even say the intro supposedly to be given she just picked it..said nothing and dropped it..I have...
  7. Chimama

    Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

    Huyo ni mtoto wa kaka yake Steven Wassira...sio mtoto wa waziri Steven Wassira just to make the correction.
  8. Chimama

    Gari latumbukia Ferry Dar asubuhi hii...

    Ni kweli imetokea jana asubuhi...by the time ninavuka...gari ya polisi ilikuwa inajaribu kulivuta (baloon - cream) kutoka kwenye ukingo (I think it was after limetolewa kwenye maji)..lakini likishindwa tena likakwama....vijana wa ferry wakalisukuma mpaka juu...ilikuwaje mpaka...
  9. Chimama

    Rakesh wa KULEANA – HAKI ELIMU na sasa TWAWEZA ni KIVULI cha nani?

    GR...this is what I'm reading btn the lines..there is more to it than what you have shared but were hoping somebody else would have joined in and spilled the beans...well..it seems he is not supposed to be touched. I agree with you that there is ALOT behind the scene than what is displayed on...
  10. Chimama

    Usafiri wa daladala Kigamboni ni kero tupu!

    Hili ni tatizo sana hasa jioni..ikifika saa moja jioni kosa..wanabadili route au wanapaki pembeni wanawasubiri mnajaa halafu wanaongeza bei na kuwataka abiria kulipa bei ya jioni kama waiitavyo...hii ni kero kubwa hasa kwa wale ambao bajeti zao ziko fixed na hawawezi kutoa zaidi. Solution ni...
  11. Chimama

    Jengo la Machinga: NSSF imekula hasara ya bilioni 30

    NSSF ni shirika la jamii ambalo linaongozwa kwa sheria ya mashirika ya jamii inayotaka fedha zake kuwekezwa ndani ya nchi na asset zisizohamishika etc..lakini NSSF hawafuati hizi sheria pengine siasa imeingia sana humo maana ndipo watu wanapopatia ulaji sasa hivi. Nimesikia NSSF imeinvest sijui...
  12. Chimama

    MJADALA WA WIKIENDI: Kufurika katikati ya Jiji la Dar ushahidi wa kikomo cha uwezo wetu kufikiri

    MMM...Post yako inanifanya nikumbuke msemo mmoja usemao FAMILIARITY BREEDS CONTENT. Unaona tatizo ambalo linawezekana kabisa kutatuliwa lakini kwa vile sio la kila siku basi unaignore na kujifunza kuishi nalo. Huwa ninakerwa sana nikiona jinsi jiji hasa posta palivyo karibu na bahari halafu eti...
  13. Chimama

    Natafuta nyumba kigamboni

    Nyumba ya kupangisha inahitajika, 3 bedroom...iwe maeneo ya mji mwema au Ungindoni. Iwe na maji na ikiwezekana ndani ya ukuta/ fence.
  14. Chimama

    Zoezi la Benki Kuu kutaka mabenki ya Update taarifa za wateja halihojiwi?

    BOT haikutoa maelezo ya kutosha kwanini tunahitaji zoezi hili...anyway my take here MM ni kwamba zoezi hili linaweza kuwa na link na Patriotic Act ya 2001 ya kuingilia privacy za wananchi...maana tayari walishaanza kwenye mawasiliano sasa tunaingia kwenye finances zetu...
  15. Chimama

    Ijuwe siri na faida kwa mabank kukusanya taarifa za wateja yani [ kyc]

    Mhh asante kuwa kutujuza katika fani yako ila mimi naelewa kuwa huo ni mpango wa nchi za magharibi chini ya FMasons...katika mpango wa kutekeleza magoli yao ya millenia..lazima kujua financial info za watu ikiwezekana wote...hizo faida ulizotupa naona ni face-view tu ya kuuza sera zao ila kuna...
  16. Chimama

    Unaishi Kigamboni?

    Waliingiza siasa kwenye huduma za jamii...kazi kweli kweli. Wanaotumia barabara wanachangia kwa kulipa kodi...kivuko - unalipa kodi na gharama za kuvuka...yaani wanaona wanatupa priviledge kweli kutuvusha na siyo haki yetu kwani K'mboni ni sehemu ya makazi ya watu...Lol..
  17. Chimama

    Unaishi Kigamboni?

    Members mnaoishi Kigamboni naomba tusaidiane/ tushauriane jinsi ya kuboresha huduma za vivuko vyetu hasa upande wa taarifa. Leo asubuhi, kivuko kidogo cha Mv Kigamboni kilikuwa kimepark na Mv Magogoni ndio ilikuwa inafanya kazi hivyo kusababisha foleni kubwa sana ya magari na msongamano wa watu...
  18. Chimama

    Update za bank account

    Kwa bank ya CRDB deadline ni leo, Barclays 31st March, Akiba 15th March....nimesikia Twiga Bancorp hadi April. Please notify all your friends wenye account zao CRDB.
  19. Chimama

    Mawazo yakinifu kuhusu Kivuko (MV kigamboni na MV magogoni)

    wazo zuri..lets wait and see.
  20. Chimama

    Mawazo yakinifu kuhusu Kivuko (MV kigamboni na MV magogoni)

    I am so grateful kwamba kuna mtu mwingine ambaye ameona mapungufu mengi yaliyopo kwenye vivuko vyetu. At one point, i thought of finding a signing sheet, getting people signatures atleast 200 then nizipeleke SUMATRA au Ujenzi maana ni kama Ferry hakuna utawala..kila mtu anajiamulia la kwake. Leo...
Back
Top Bottom