Search results

  1. I

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Asante Mungu Amepona, Mungu kampigania mbele ya adui zake. Kutoka 14:14 Bwana atawapigania ninyi,nanyi mtanyamaza kimya.
  2. I

    Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara?

    Habarini wakuu? Eti ni Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara na ujenzi mwingine mkubwa Msaada plz.
  3. I

    Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara?

    Habari wakuu naomba kuuliza eti ni accounting package ipi inafaa kutumiwa na kampuni ya ujenzi,mfano ujenzi wa reli na barabara na ujenzi mwingine mkubwa. Msaada wa haraka plz.
  4. I

    Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

    wakuu mliopo Halmashauri mbali mbali tunaomba msaada juu ya hili wakitangaza tu kwenye hizo mbao za matangazo msisite kutuwekea humu.Asante
  5. I

    Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

    Na ni Halmashauri zipi zimepewa vibari vya kuajiri hizo nafasi tunaomba kwa mwenye information
  6. I

    Ajira mpya hizo

    Jamani kwahiyo ndo ziko wazi hizo nafasi au bado azijatangwazwa na halmashauri
  7. I

    Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Kuna maswali najiuliza kwanini mkuu wa kaya alikisifia kile kipindi cha umbea chilawadu huku akichukizwa na habali za umbea!!
  8. I

    Social Media reactions as President Magufuli sacks his Minister

    Lakini chanzo cha haya yote ni Madawa ya kulevya, Hebu tuludi kwenye kusudi na tusipoteze maana kwa kuibua vitu visivyo vya muhimu kama vijana wetu wanavyo angamia kwa madawa, hizi nguvu zote zingetumika kwa pamoja kutoa taarifa juu ya janga hili na dhani tungepiga hatua kubwa sana.
  9. I

    Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Duh!!! Nape ungejua ungekaa kimya tu maana hii ni shoo ya mtu mmoja.
  10. I

    Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    JPM Anafanya vizuri sana kupunguza matumizi ila kwa hili Amekosea kidogo, kwani kumwambia mtu aludishe Pesa wakati pesa zenyewe ngumu saizi zingezuiliwa kabla hazijagaiwa.
  11. I

    Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo

    Kwa kweli inasikitisha sana, kuna haja ya watafiti pindi wanapofika kwenye kijiji husika kutoa taarifa kwanza kwa uongozi wa kijiji (wenye viti wa kijiji) kwanza kabla ya kuendelea na chochote ili kuwatambulisha kwa wananchi na kupewa ushirikiano.
  12. I

    1c program

    Naomba msaada kwa mtu anae jua program ya account inaitwa 1c, au wapi naweza kupata training inatumika sana na watu wa urusi. Natanguliza shukrani zangu za pekee kwa atakaye nisaidia.
  13. I

    Tutafakari pamoja kuhusu hili la kufoji mikutano ya kampeni za CCM

    Naona ungejadili kwanza mikutano ya Chadema inayokuhusu kabla hujajadili mikutano ya CCM isiyokuhusu.
  14. I

    Managing Director anastahili allowance zipi

    Asante sana mkuu Aqua kwa ufafanuzi wako mzuri, pia lakini nilikuwa napenda kuzijua hizo general.
  15. I

    Managing Director anastahili allowance zipi

    Habarini wakuu mimi nipo kampuni moja hivi la watu wa kutoka kazakhastan sasa huyo Managing Director wetu anataka kulipiwa hadi sigara na kampuni yaani kila wanacho nunua wanareta risiti, sasa naomba kuuliza kwa wale wanaojua Managing director ana stahili allowance zipi mbali na mshahara wake?
  16. I

    Mahesabu ya makato ya kodi kwenye mshahara

    kwanza kabisa ni fungu la kumi mmesahau hilo.
  17. I

    Fursa ya kuwa wakala wa mambo ya mikopo

    Mkuu mbona ujasomeka kabisa,unaitaji nini.
  18. I

    Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

    Inawezekana wewe ni mmoja wa walio timuliwa ni bora kupiga kimya mkuu, kwani amna point unapoteza mda nakushauri huo mda uriokaa na kutunga yaho maelezo yako ya hasira, chuki, ungefikiri namna gani ya kujirekebisha.
  19. I

    TRA wametoa Nafasi za Ajira

    Na vip ukiapply post zaidi ya moja
Back
Top Bottom