Search results

  1. isoko

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Punguza mahaba basi usimalize yote leo ni Eid utanyimwa pilau 😂😂😂😂
  2. isoko

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Alisikika mlevi mmoja akiwa mitaa ya Manzese Mtaa wa Fisi 😂😂😂
  3. isoko

    Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MUKYAAAA
  4. isoko

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Unataka kila kitu kikujua ndugu mbona wewe hutwambii unawalipa kiasi gani wanaokufanyia kazi😀😀😀
  5. isoko

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Maendeleo hayana chama Hawajui hao
  6. isoko

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Hapo sasa hata hivyo nafikiri hizo 300km zimejumuishwa na zile za vituo vya kupishana treni
  7. isoko

    Askari wafichua ufisadi katika Jeshi la Magereza

    Hongera CGP kwa utumishi uliotukuka karibu nyumbani kijitonyama/makumbusho
  8. isoko

    Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

    SACP Misime David
  9. isoko

    Hongereni Zitto na Kingu kwa kukataa posho kandamizi kwetu

    ni vyema tungepata mrejesho wa posho alizokataa ZZK wakati wa Bunge la kumi zimefanya kitu gani kwa jamii
  10. isoko

    Tanzia: Aliyekuwa mbunge wa Dodoma mjini Padre Severino Supa amefariki dunia

    rip padre nakumbuka yale maghorofa yake pale ovada ni vema halmashauri ya wilaya ya chemba ikafanya eneo hilo kuwa kituo kidogo cha utalii (ni mtazamo tu)
  11. isoko

    Manyara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    ByManu.:Matokeo Babati Mjini:1. Kisyeri Chambiri: 164342. Pauline Gekul: 21036huyu ni mrembo wa 3 baada yaMatiko,Bulaya,sisikii kuhusu wanne Susan Kiwanga
  12. isoko

    Peanut butter

    ByfarkhinaMahitaji1)Karanga kg 1/42)Asali kijiko 1.5 cha chakula3)Peanut oil au mafuta yeyote kijiko 1 na nusu cha chakula4)Chumvi 1/2 kijiko cha chai (kama peanut zake hazijakua roasted na chumvi)5)Chupa yenye mfuniko ya kigae (kwa kuhifadhia peanut butter yako)Namna ya kutayarisha1)ondoa...
  13. isoko

    Bungeni: Lukuvi Kanishangaza Sana!

    safari hii kapata mpinzani Ismani hakuna kupita bila kupingwa
  14. isoko

    Kiwanja kinauzwa Ivumwe Mbeya

    miaka ya 98 kulikuwa na mti ya milingoti mitaa hiyo du mbeya kumekucha
  15. isoko

    Wapi nitapata Common Interface kwaajili ya TV, kwa Dar?

    Wana jukwaa natafuta common interface kwa ajili ya TV yangu kwa jijini DSM nitapata wapi
  16. isoko

    Natafuta CI Card (Common Interface card)

    Hata Mimi ninatafuta hyo kitu
  17. isoko

    Top 5 ya viongozi wenye vitambi/matumbo ya ajabu tz

    ole sendeka mzee wa kula nyama kito bar dodoma
  18. isoko

    Timbwili Lahamia Kanisani Moravian Kinondoni-Ibada Yashindwa Kuendelea

    huyu jamaa mwenye shati jekundu ni tatizo pale
Back
Top Bottom