Search results

  1. MARO BM

    Mpc is equivalent to mps

    Abrreviation ya MPC ni MARGINAL PROPENSITY TO CONSUME na MPS ni MARGINAL PROPENSITY TO SAVE. Naomba sasa mnipe ukweli kuhusu hako ka heading apo juu.Ni ktk kukumbushana tu. Kama uchumi upo mrengo wa kushoto piga kimya. Naomba kuwasilisha.
  2. MARO BM

    Kuwahi kumaliza ni tatizo la kasaikolojia

    Nipo mbele yenu wana JF nilitaka/nikiomba maelezo ya kina kwani wasomi wa mtaani/vijiweni/street university kuwa eti kumaliza kufika kileleni kabla ya mwenzio ni tatizo la kisaikolojia. Nihabarisheni kuhusu ukweli wa hizi tetesi. Naomba kuwasilisha.
  3. MARO BM

    Hali ya mrema ni tete.

    Kwa yeyote mwenye tetesi kuhusu hali ya afya ya Mh. huyu atuhabarishe hapa jamii forums.
  4. MARO BM

    "Utafiti kuhusu imani zetu"

    Wakuu habari za usiku,kwa wale ambao tumeajiriwa poleni na majukumu ya kila siku na wale ambao bado tunatafuta kazi tusikate tamaa MUNGU yupo na ipo siku atakusaidia utapata tu,Baada ya salam hizo sasa naomba tupitie kwa umakini huu utafiti then tutoe maoni yetu: Kunawatafiti wamefanya...
  5. MARO BM

    "Utafiti kuhusu imani zetu"

    Wakuu habari za usiku,kwa wale ambao tumeajiriwa poleni na majukumu ya kila siku na wale ambao bado tunatafuta kazi tusikate tamaa MUNGU yupo na ipo siku atakusaidia utapata tu,Baada ya salam hizo sasa naomba tupitie kwa umakini huu utafiti then tutoe maoni yetu: Kunawatafiti wamefanya...
  6. MARO BM

    Sidhani kama ni sifa mwanangu kufaulu darasa la saba

    Wana JF kwanza poleni na majukumu ya kila siku. Leo nimeamua kutoa yaliyonisibu baada ya NW Mh.Mulugo kutangaza matokeo ya darasa la saba,naomba niwaulize wana JF nijisifu nini kuwa mwanangu amechaguliwa kujiunga k.1? Nasema hivyo kwa sababu shule aliyopangiwa anapanda Magari manne(4) kwenda na...
  7. MARO BM

    Mwanamke huyu simwelewi ana Mume na watoto watatu lakini bado hajatulia!

    Wana JF habari za jioni! Leo nimeamua kujitokeza hadharani kueleza yaliyo moyoni mwangu maana nimefikiri nimwulize nani bila kupata majibu. Story ipo hivi,Mimi nimehamia hapa Arusha tangu mwaka 2001 nikitokea Dsm.Nilipofika Arusha nilifahamiana na dada mmoja anaeitwa(X),Mwanadada huyu alikuwa...
  8. MARO BM

    Kwa nini siku hizi wenye ndoa wanalalamikiana wao kwa wao?

    Naomba kuwauliza WaJF juzi kati nlikutana na mwanandoa mmoja akawa ananipa story anavyolalamikiwa na mkewe kuwa siku hizi amempata nani baada ya mkewe kumtuhumu kuwa kilometer zimepungua wakati wa kupanda mlima.Ni hivi madai yaliyopo eti mwanzoni wakati wanaoana alikuwa anatembea hadi km.5 hadi...
  9. MARO BM

    KOVA vs. SUGU

    :eek2: Wajameni vp kuhusu Filamu ya Kova Vs.Sugu? :A S-baby:
Back
Top Bottom