Search results

  1. P

    Salum Mwalim afunguka madai kuwa si mkazi wa Kinondoni! Asema ameishi kwa miaka 14

    Salum Mwaimu ndio chaguo la wana kinondoni na kwa maendeleo ya wanakinondoni, wengine waache watoke mapovu.
  2. P

    Mapokezi Makubwa yasubiriwa kwa Mh. Mwigulu mbunge wa Iramba Magharibi

    semea nafai yako, you are talking nonsense, kiboko ya wauaji una maanisha nini, let us be sincerely, tuache kufanya propaganda zisizo na mashiko kwa wananchi wetu, ambao majority are living in a less a dolar a day.
  3. P

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    hata ukiandika page 70 za uongo wako, hakuna mashiko, watanzania wa leo siyo wale wa jana, kuwa makini.
  4. P

    Kura ya maoni,wanaotaka dr slaa aondoke,

    umetumwa? umelipwa kiasi gani kufuatilia mambo ya Chadema, ambayo si kwa ustawi wa watanzania?, hebu leta hapa jamvini vitu vyenye tija, badala ya kuwa mropokaji.
  5. P

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    inauma, na mungu hawalaani waliofanya kitendo hiki, ni wajibu sasa kwa serikali kuchukua jukumu zima la kulea familia hii, hasa kwa kuwasomesha watoto wa marehemu, wasikae kimya kama hawajui walilofanya, rip daudi mwangosi, mpiganaji wa haki za wanyonge.
  6. P

    BAWACHA mnaiangusha CHADEMA!

    ni kweli hapo umenena, bawacha chukueni hatua no time to waste, ni wakati wa kitanda kwa kitanda, mvungu kwa mvungu sasa, hakuna lingine.
  7. P

    Mwakyembe: Sikusinzia...

    ingeweza kuwa positive, kama asingetoa taarifa, ili aweze kupata hali halisi ya usafiri huo wa wananchi wa walio wengi, lakini kwa matangazo aliyofanya sidhani ataweza kuzipata zile kero za muda mrefu.
  8. P

    Mwakyembe: Sikusinzia...

    ingeweza kuwa positive, kama asingetoa taarifa, ili aweze kupata hali halisi ya usafiri huo wa wananchi wa kipato cha chini, lakini kwa matangazo aliyofanya sidhani ataweza kuzipata zile kero za muda mrefu.
  9. P

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    mambo ya ukabila yanatoka wapi na siasa, hizo ni hoja dhaifu zisizo na mashiko hata kidogo, kingekuwa chama cha kikabila, kisingepata wabunge sehemu mbalimbali za nchi hii, hizo hoja kwa sasa watanzania wanazijua ni dhaifu na hawawezi kuzipa nafasi, labda anzisha kitu kingine, watanzania wa leo...
  10. P

    Kipanya leo!!

    Hii ni kweli tu, kipanya hajaongopa, ni aibu kweli kwa rais wetu kuwa ombaomba, wakati nchi ina rasilimali lukuki, tatizo ni uongozi jamani, mpaka lini mambo haya.
  11. P

    Gazeti RAI lailipua CCM kuhusu njama dhidi ya CHADEMA.

    ushauri wa bure, chadema leadership, achaneni na shibuda, endeleeni na mkakati wa kuimarisha chama kwa lengo la kushika dola 2015, shibuda atajifia mwenyewe kwenye kura maoni, utakapofika wakati tarajali, hata hao bavicha, wasiangaike na shibuda ambaye kwa sasa amepoteza muelekeo hata kwa wapiga...
  12. P

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Kama kuna ofisi nzuri, nini kilikutoa humo?, chama siyo ofisi bali ni wanachama.
  13. P

    Dr. Slaa aiumiza CCM

    inahitajika busara ya hali ya juu, shibuda aachwe amalize ubunge wake, viongozi wa chadema endeleeni kuimarisha chama achaneni na mambo ya shibuda,huu si wakati wa kuwania urais, bali ni wakati wa kutatua matatizo waliyonayo wananchi walio wengi, ambao wanaishi katika lindi kubwa la umasikini.
  14. P

    Dr Kafumu anusa kushindwa kesi ya Uchaguzi Igunga, amkataa Jaji......

    tusubiri hukumu na tufuatilie kwa undani mwenendo mzima wa kesi unavyoendelea, hukumu utegemea sana ushahidi unaowasilishwa mahakamani.
  15. P

    Mbinu Chafu Vyuoni ni Kaburi la CCM

    hivi kwanini wanalazimisha punda kunywa maji? waache demokrasia itawale, mambo ya kulazimisha yamepita muda wake kwa sasa, let them choose what they want and not what you want.
  16. P

    Ahadi nyingine bwana !!!! Alimuradi tu!!!

    hata waseme vipi ahadi ni ahadi, lazima itekelezwe.
  17. P

    CHADEMA:"Baba wa kambo Mwanza"

    mchemsho huo, ni mtizamo finyu.
  18. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    acha kutuongopea, au umeingia mchecheto?
  19. P

    Nape atimiza umafia Mwanza

    nilizungumza kipindi cha nyuma kuwa, elimu ya uraia inahitajika sana, kwa wananchi wa vijijini, ili watambue mchele na pumba ni upi.
Back
Top Bottom