Search results

  1. K

    Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

    Kwani kuna ubaya nani kuboresha Chou cha reli Tabora. Kwa uelewa wangu Tabora pia kuna chuo cha reli
  2. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Mh Gwajima tulikuona ukiongelea Liganga na Mchuchuma, ukumbuke pia kusemea suala la barabara
  3. K

    Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Halafu kutwa nzima mnalalamika kuwa hakuna ajira wakati wanapewa wazanzibar pambana na hali zenu.
  4. K

    Uteuzi wa Shaka kuwa Mkuu wa Wilaya ni anguko haswaa

    Katiba inasemaje, Je, Mzanzibari anaruhusiwa kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya huku Bara nisaidie mimi sielewi.
  5. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Pia, Barabara hii inaunganisha jimbo la Kibamba na Kawe. Hivyo tunaomba wabunge husika washirikiane na kuhakikisha ujenzi unaanza.
  6. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Kama ni hivyo, mamlaka wanatakiwa kutoka na kudadavua kwanini ujenzi haujaanza?
  7. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Pia, tukumbuke kuwa kuna pori la Msitu wa Pande ambalo ni muhimu kwa watalii wanaoingia Mkoa wa Dar es Salaam. Hivyo, uwepo wa barabara hii utaimalisha sekta ya utalii DSM
  8. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Barabara hiyo itasaidia mabasi yanayoelekea kaskazini mwa nchi kutolazimika kuzunguka kwa kupitia barabara ya Mbezi to Goba to Masana.
  9. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Kwa kuwa mmojawapo wa wateule wake ni Prof Mbalawa na kipande hicho cha barabara kipo chini ya TANROAD. Hoja hii inamhusu, hivyo nashauri aifanyie kazi.
  10. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Ni kawaida unapotaka hoja yako isikilizwe na watawala ni vema ukaanza na strengths na mwisho ukaonesha weaknesses nakushauri ipasavyo na hiki mama ndo anochotaka kwa yeye hawezi kuona kila kona ya nchi.
  11. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande. Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami. Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho...
  12. K

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Mimi napendekeza Prof. Joyce Ndalichako
  13. K

    Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri. Mwijage na Tizeba nje, Waitara ndani

    Tizeba angeonewa huruma kidogo sababu ametimiza wajibu wake korosho zimepatikana kwa wingi. Lakini, Mwijage sina 'comments'
  14. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Mimi namshukru kwani Barbara ya mtaani kwangu Bombamzinga -Tabora imewekewa lami kwa Mara ya kwanza endelea hivyo mheshimiwa wananchi Wa mtaani Sana juju bal
  15. K

    Tanesco Tegeta

    Dr. Mwinuka ebu angaza pale Tanesco Tegeta kuna tatizo kwani kuna urasmu katika kuwafungia wateja huduma ya umeme ambao wameishalipia. Omba opras hasahasa kwa wafanyakazi wa serviceline uone jinsi walivyojipanga kuwahudumia wateja. La sivyo tumbua wafanyakazi wote wa kitengo hiki leta wapya...
  16. K

    GPA hazifai kutumika ktk kuajiri wahadhiri na wahadhiri wasaidizi

    Nakubaliana na mtoa hoja. Sio GPA hata hizo masters ni shida tu. Unakuta mtu Masters nzuri lakini akuandikie taarifa ni vichekesho.
Back
Top Bottom