Search results

  1. IamError_D

    MacBook Air inagoma kuwaka

    MacBook Air yako bado inawaka ila Operating system yake iko formatted. Tafuta sehemu nzuri yenye internet ya uhakika ili ufanye Recovery Installation. Kama ukiona Activation Lock afu huijui password ya computer au icloud sahau hiyo macbook na ishakuea toy.
  2. IamError_D

    Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi

    Maelezo yako hayajakamilika sababu hujataja aina 3 za uziwi na ukoje? Mimi kama msomaji wa mada yako hii bado sijaelewa aina za ukiziwi unaozungumza? Nijuavyo mimi kuna aina 2 za ukiziwi yaani kuzaliwa na ukubwani.
  3. IamError_D

    Live streaming bora kwa channel za Tanzania

    Mkuu mimi ni mtumiaji wa Apple TV na naomba unitumie m3u playlist PM kama ungejali. Thanks
  4. IamError_D

    Rimoti ya hii TV inanitesa

    Hii hapa mkuu https://www.ebay.com/itm/Genuine-Sharp-SHW-RMC-0121-TV-Remote-LC-32HI5332KF-LC-32HI5432KF-LC-32HI5332KF-/174323248500?mkcid=16&mkevt=1&_trksid=p2349624.m46890.l6249&mkrid=711-127632-2357-0
  5. IamError_D

    Rimoti ya hii TV inanitesa

    Angalia pia na eBay maana unaweza pata muuzaji anayeuza hiyo rimoti unayoitafuta.
  6. IamError_D

    Nisaidieni wapi nikasome IT

    CompTIA A+ itakuvaa kwenye ulimwengu wa ajira ya IT especially kimataifa. Unachotakiwa ni kufanya na kufaulu mitihani yao ili upate cheti zao. Kwahiyo hizo cheti kina muda wake wa matumizi kuisha (Kila baada ya miaka 3). Kama muda wa matumizi ukiisha unaweza kurenew kwa kufanya mitihani yao hio...
  7. IamError_D

    Windows 10 latest upgrade

    https://www.microsoft.com/en-us/software-download/windows10ISO
  8. IamError_D

    ZUKU fiber unlimited home internet

    Vipi watu wa Tegeta huduma ishatufikia au bado?
  9. IamError_D

    Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

    Mie nitachukua iPhone tu sababu Android phone ishanishinda kwenye apps ku-freeze ovyo wakati nitumia simu
  10. IamError_D

    Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

    Wazee wa Black Friday mpo.
  11. IamError_D

    Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

    EA games is on sale. Punguzo 30% - 70% na mwisho wa mauzo ni jumanne tar 16/10 Wahini
  12. IamError_D

    Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

    Soccer Sale Offer Deadline 5 June
  13. IamError_D

    Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Wapenzi wa Ubuntu habari njema kwenu Ubuntu 18.04 LTS (Bionic Beaver) ishatoka majuzi hivi
  14. IamError_D

    Msaada: Playstation plus account

    Mkuu unatumia mtandao gani kucheza games za online
  15. IamError_D

    PS3 modding & cfw installation

    Unapatikana wapi?
  16. IamError_D

    Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

    Wazee wa Ghost Recon Wildlands wahini save 40% $36
  17. IamError_D

    Msaada wa app ya window 10 inayo support whatsapp mbali na bluestack

    WhatsApp walishatoa app yao unaweza kudownload from their website.
  18. IamError_D

    Natafuta PS2

    Ipo Dar mkuu kuna jamaa anauza ongeza 20,000 ya kutuma kwa basi
  19. IamError_D

    Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

    Mid-Year Sale discount End 11 July God of War 3 $6 GTA V $36 Na zingine nyingi wahini wadau wa PS
Back
Top Bottom