Search results

  1. kingadvisor

    Vicent Nyerere: Hakuna polisi aliyepata kuwa mkuu wa wilaya

    Inaonyesha umezaliwa juzi Hujui ulinzi wa kutumia wanajeshi na usalama wa taifa kulinda Raisi ulianza lini.Philemon Mgaya alikuwa polisi na mlinzi wa Raisi.Hata kama hulijui Raisi huwa halindwi na hao tu uliowataja na polisi huwa wamo.
  2. kingadvisor

    Vicent Nyerere: Hakuna polisi aliyepata kuwa mkuu wa wilaya

    Inaonyesha umezaliwa juzi Hujui ulinzi wa kutumia wanajeshi na usalama wa taifa kulinda Raisi ulianza lini.Philemon Mgaya alikuwa polisi na mlinzi wa Raisi.Hata kama hulijui Raisi huwa halindwi na hao tu uliowataja na polisi huwa wamo.
  3. kingadvisor

    Vicent Nyerere: Hakuna polisi aliyepata kuwa mkuu wa wilaya

    Hata Vincent kawa mwongo! siasa kweli mbaya.Kasahau polisi mlinzi wa baba yake Julius Nyerere ambaye yu hai hadi leo polisi Philemon Mgaya ambaye alishapewa ukuu wa Mkoa! Vyama vya upinzani ni vizuri viombe mtu atoe hotuba ya maandishi ihakikiwe kabla hajaenda jukwaani kuhutubia uongo.
  4. kingadvisor

    PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

    Kwani kaliingizia taifa mapato ya shilingi ngapi kwa kuwemo kwenye hilo jopo au katengeneza ajira au kaleta wawekezaji wa maana wa kusaidia tanzania kiasi gani hadi apokelewe kitaifa? Siku hizi ni diplomasia ni siasa uchumi siyo blabla.Umeleta kwa nchi nini siyo tu umeleta misifa uliyosifiwa...
  5. kingadvisor

    Mbowe mgeni rasmi uzinduzi wa kampeni za CDM arumeru

    Yeyote aliyeshauri hii strategy kampotosha Mwenyekiti wa Chadema.Mikoa hiyo uliyotaja hawapigi kura target market ni Arumeru.Kwa sasa kinachotafutwa ni kura siyo umaarufu mwisho wa mchezo ni magoli siyo vinginevyo. Nchi yetu ina matatizo ya washauri wazuri kuanzia serikalini hadi kwenye vyama...
  6. kingadvisor

    Mbowe mgeni rasmi uzinduzi wa kampeni za CDM arumeru

    Ni upotezaji tu wa pesa hata kanuni za kutafuta soko zinataka kampeni ya kutafuta wateja ulenge wateja husika.Uchaguzi unafanyika arumeru unahutubia taifa hiki nini nini kama si kupoteza pesa tu ilibidi Chadema ilenge Arumeru tu. Pili nakumbuka niliwahi kukutana na Kiongozi mmoja mwandamizi wa...
  7. kingadvisor

    Mbowe mgeni rasmi uzinduzi wa kampeni za CDM arumeru

    Ni upotezaji tu wa pesa hata kanuni za kutafuta soko zinataka kampeni ya kutafuta wateja ulenge wateja husika.Uchaguzi unafanyika arumeru unahutubia taifa hiki nini nini kama si kupoteza pesa tu ilibidi Chadema ilenge Arumeru tu. Pili nakumbuka niliwahi kukutana na Kiongozi mmoja mwanamizi wa...
  8. kingadvisor

    What they will see in Muhimbili - Doctors from India, China and Cuba

    Madaktari wa nchi hizo wamezoea kufanya kazi katika mazingira magumu kuliko hayo ya muhimbili India na cuba wakifika hapo muhimbili watashangaa palivyo pazuri kufanya kazi.Kama unabisha nenda india hospitali za serikali za majimbo za India na Cuba ukaone.Wakija hapa wataomba hata uraia kabisa na...
  9. kingadvisor

    Maafa makubwa kutokea serikali ikijaribu kufanya haya kwenye mgomo wa madaktari

    Wewe ndio mpumbavu kama marekani wanajali wahi huko uende haraka huko kama una soko.Usibaki hapa kutusumbua.Nenda huko upesi next flight uende.Hatujakulazimisha uishi hapa.Ndio maana serikali hutoa passport ili watu watimue.
  10. kingadvisor

    Maafa makubwa kutokea serikali ikijaribu kufanya haya kwenye mgomo wa madaktari

    Naona madaktari wa serikali wana overstate uwezo wao. Watanzania wengi hawatibiwi hospitali za serikali kwa sababu ya rushwa,kukosekana dawa na umbali ziliko hospitali hizo.Wengi siku hizi wanaponea mitishamba,kwa waganga wa kienyeji na kichina,hospitali binafsi kwa mashehe na viongozi wa...
  11. kingadvisor

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    Wote hao uliowataja kuna siku watahitajika wapelekwe mahakama ya mauaji ya kimbari (ICC) kwa uhamasishaji wa madaktari kugoma ili wananchi wafe .Wananchi wote waliofiwa na ndugu zao kipindi cha mgomo wa madaktari waweke rekodi zao vizuri.Siku hawa wakiburuzwa mahakama ya mauaji ya kimbari...
  12. kingadvisor

    Nafikiria kubadilisha career..

    Soko la degree ya kiswahili ni kubwa ndani na nje kuliko hilo la uandishi wa habari.Soko la uandishi wa habari limefurika ndani na nje kupata ni kazi hasa by the time unamaliza utajikuta huna kazi utaanza kutukana serikali kuwa wasomi haiwapi ajira!
  13. kingadvisor

    Mgomo wa madaktari Muzamil Kalokola anayetaka kushitaki madaktari ICC ni kweli au tapeli

    Go ahead Dr.Muzamil Kalokola wanachofanya madaktari ni mauaji ya kimbari ya watanzania makubwa kuliko yale ya Rwanda.I support Dr.Kalokola.
  14. kingadvisor

    Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

    Ni vizuri kwenda hospitali kupima pia unaweza kuwa na matatizo ya akili au ya kisaikolojia.
  15. kingadvisor

    Sioni umuhimu wa facebook kwa mwanafunzi, siwezi jiunga nayo nitajiunga muda ukifika - Moses Swai

    Hapo sina uhakika.Wanafunzi wengi wenye tabia ulizotaja sana sana huanzia division three kwenda mbele na combination mara nyingi huwa za kubabaisha zaweza hata kutimia zisizitimie anaokota C hapa na pale na D kibao.Mtu kupata division one na kuwa best student kitaifa si suala la mzaha yataka...
  16. kingadvisor

    Tanzania to build $40m mall in Nairobi

    Safi sana hongera serikali na NSSF kwa kuionyesha njia ni wakati wa watanzania kuwekeza nje ya nchi kwenye maeneo yenye high returns kama hayo.hongera Membe hongera Dau .
  17. kingadvisor

    Kikwete hakuna kuachia ngazi

    Raisi Kikwete amekuwa akisumbuliwa sana siku za karibuni na watu kumtaka aachie ngazi hilo haliwezekani na haliruhusiwi sababu 1.Yeye kachaguliwa na watanzania wote si chama fulani tu.Hivyo chama fulani kikitaka aondoke ni sababu isiyo na maana wao ni minority na si majority 2.Kuna wabunge kwa...
  18. kingadvisor

    TRA, BoT wanalipwa mishahara minene kuliko maprofesa’

    Kama mishahara ya maprofesa na madaktari bingwa ni midogo kweli kuna haja TAKUKURU wawachunguze maghari ya kifahari wanayotembelea na mahekalu ya majumba waliyojenga ya kuishi pesa wametoa wapi? pia kuwachunguza mashule makubwa na mahospitali binafsi ya mabilioni pesa wanayomiliki hizo pesa...
  19. kingadvisor

    TRA, BoT wanalipwa mishahara minene kuliko maprofesa’

    Kwa wanaomjua Profesa Safari na outputs zake kama kweli wanamlipa hizo hela there is no value for money ilibidi alipwe chini ya hizo.
Back
Top Bottom