Mwishoni mwa 2021 wanaharakati wa A-Town walianzisha WhatsApp group iitwayo "MAPINDUZI YA RIADHA TANZANIA" group hilo limejaa vichwa vikali vyenye ujasiri mkubwa wa kuhoji na kuchalenji.
Pamoja na comments nyingi za hatari, nimeipenda hii hapa chini, nimeichomoa mle mle.
1) Viongozi wa TOC...
Hivi majuzi Wananchi wa kata ya Nangwa Wilaya ya Hanang walidai taarifa ya Mapato na Matumizi lakini wakajikuta matatani na kutiwa Polisi Katesh.
Sakata hili linamuhusisha Mtendaji Kata tajiri kuliko wote Tanzania ndg Daudi Manda ambaye miaka michache iliyopita hakuwa na chochote lakini leo hii...
Gidabday alifanya kazi vzr sana kwa miaka 3 yake RT [emoji966] 2 zilikuja, taswira ya Tanzania ikapanda kimataifa. Ila wakubwa wakataka kutafuna gidabday akagoma na kukasirika kaondoka zake. Sasa nasikia anachunga mifugo mapprini.
Mnamo tarehe 30/Jan/2021 Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liliteua tume ya kusimamia uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania. Tume ilikua chini ya uenyekiti wa Dr Jonas Tiboroah japo mchakato huu ulifanywa na BMT kwa nia njema ya kurudisha utawala bora katika chama, bahati mbaya sana tume hii...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.