Search results

  1. kaburu mdogo

    Kadi yangu ya Bima kutumika zaidi ya mara moja

    Jana nilienda hospitali moja binafsi kupata matibabu kwa kutumia kadi yangu ya Bima. Wakati huo nilipata sms kuwa kadi yangu imetumika na kama sijui nitoe taarifa. Leo muda huu napata tena taarifa kadi yangu inatumika kwenye hospitali ile ile niliyoenda kupata matibabu wakati mimi nipo...
  2. kaburu mdogo

    #COVID19 Naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kuchanja Covid-19 Tanzania

    Naomba maelekezo ndugu zanguni jinsi ili niweze kujua jinsi ya kuweka booking kwa ajili ya kuchanja. Natarajia kwenda kuchanja wiki hii katika hospitali ya kairuki
  3. kaburu mdogo

    Ni wapi nitapata hii Radio ya hii kampuni?

    Nilinunua radio ( home cinema) zamani kidogo kwenye mwaka 2007/9 kupitia ndugu yangu aliyekuwepo Africa ya kusini na kuileta hapa nyumbani. Bahati mbaya vibaka walivunja na kuiba hiyo radio na kuniachia subwoofer yenye namba za udahili subwoofer model micro 1500dssw. Nilikuwa nahitaji radio...
  4. kaburu mdogo

    Nataka kumuachisha mke wangu kazi. Naombeni ushauri katika hili

    Nipo kwenye ndoa na mke wangu kwa muda wa miaka 5 sasa, mke wangu amekuwa nami bega kwa bega kwa kipindi chote hicho japo changamoto za hapa na pale ni kitu cha kawaida kwenye maisha. Nimebahatika kujaliwa watoto wawili na mke wangu, wa kwanza akiwa na miaka saba na wiki Ana miaka miwili sasa...
  5. kaburu mdogo

    Kuna unafuu wa bidhaa za umeme kutoka Zanzibar?

    Poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo. Kuna bidhaa nimeziona kwenye mitandao zainauzwa Zanzibar na watu wa bara wanaziagiza. Tafadhali naomba kujua kama kuna mtu anajua unafuu wa bidhaa za kutoka Zanzibar, mtu akiifuta huko na kuisafirisha kuja bara. Je, gharama zake zinakuwaje hususani...
  6. kaburu mdogo

    Madhara ya Grand Malt

    Poleni kwa majukumu ya siku ya leo, naomba kujua madhara ya kunywa grand malt,maana kwa siku naweza kunywa tatu, naomba Na njia mbadala ya kuacha soda.
  7. kaburu mdogo

    Samsung TV na Sony home theatre

    Nawasalim nyote,tafadhali naomba mnielekeze jinsi ya kuunganisha TV ya Samsung inchi 32 flat na Sony home theatre,shida yangu nataka sauti ya TV itokee kwenye home theatre nimejaribu kunganisha mara nyingi lakini imenishinda kwni nimejaribu mara nyingi sana. Natabguliza shukrani zangu kwenu
  8. kaburu mdogo

    Habari kwenu mafundi ujenzi

    Nina mtaji wa milioni 15 pamoja na kiwanja cha 40 × 40 nahitaji mtu anijengee nyumba yeye sifa zifuatao, Vyumba vitatu pamoja na master moja jiko public toilet store dining. Hakikisha nyumba inakamilika kila kitu Kama upo tayari ni pm tafadhali kwa maelezo tayari
  9. kaburu mdogo

    Kuku wa malawi

    Mungu awe nanyi nyote. Ktafadhalini sana,natafuta mayai ya Kuku wa kienyeji kutoka Malawi wale wakubwa,mwenye nayo tuwasiliane
  10. kaburu mdogo

    Wauzaji wa nyumba

    Tafadhali naomba msaada wa kueleweshwa kidogo,siku za karibu ni kumetokea uuzaji wa nyumba maeneo ya mbagala chamanzi,nyumba nyingi zinauzwa huko.tafadhali naomba kujua kuna shida gani,naogopa nisije kununua kumbe eneo hilo kina matatizo
  11. kaburu mdogo

    Body to body

    Natumaini mnaedelea vizuri. Tafadhali naomba anajua sehemu naweza pata huduma ya body to body massage anielekeze tafadhali
  12. kaburu mdogo

    Naomba kujuzwa nauli ya kwenda Kigoma

    Wana bodi tafadhalini, Nipo Arusha na ninahitaji kwenda Kigoma, naomba kujuzwa nauli halisi ya kwenda huko pamoja na basi nzuri. Muda wa kufika huko (Kigoma mjini) pia naomba kujuzwa nauli ya ndege kutoka Arusha hadi Kigoma ili niangalie unafuu. Nashukuru kwa yote
  13. kaburu mdogo

    Wataalam nao wanaposhindwa kufafanua maana ya VAT

    nipo hapa home naangalia itv,kipindi cha kipima joto,wapo wataalm watatu,"mada ya Leo ni marekebisho mbalimbali ya kodi na tozo katika bageti. Nini tafsiri take kisheria?" Hakika wote wameshindwa kuelewa maana ya VAT
  14. kaburu mdogo

    Jinsi ya kufuta nyimbo nyingi

    Salam za jumapili nyote! Tafadhani sana wadau wa technology naomba kama Luna applications ambazo naweza kuzitumia kufuta NYIMBO NYINGI zailizojirudia kwenye simu au PC anielekeze au anitajie jinsi nitkavyoipata.nashukuru sana kwa msaada
  15. kaburu mdogo

    Mwenye kaspersky

    Salamu zangu kwenu ziwafikie Tafadhali wana body naomba mwenye keys za kaspersky aniwezeahe maana computer yangu una virus ambao nikiwatoa kwa AVG hawatoki tafadhali.naomba kama nayo unisaisie tafadhali. Natanguliza shukran zangu kwenu nyoye
  16. kaburu mdogo

    Naomba msaada wa tatizo la network kwenye galax

    Kwanza natanguliza salam za dhati kwenu. Natumia samsung galaxy gt 19500, kila ninapojaribu ku download video especially video za movie zina download yote ila wakati kwa kuplay inaplay dakika 5 au 6,naomba kama kuna mtu anafahamu application nyingine aniekeze au anielekeze jonsi ya kutumia...
  17. kaburu mdogo

    Ukiwa huna jino unaweza jiunga na Jeshi?

    kwa wale wataalamu wa mambo ya kijeshi naomba kujua kidogo eti ukiwa huna jino kuanzia moha hadi matatu huwezi kwenda kusomea/kujiunga mambo ya uafisa ya jeshi monduli?naomba kujuzwa
  18. kaburu mdogo

    wanawake wa humu majanga

    siku chache zilizopita niliona post ya mdada mmoja hivi anatafuta mchumba na kwakuwa na mie nipo single na ninatafuta mtu wa kuishi nae niliamua kuanza kumfuatilka kwa ku mp na kupeana no za simu.mungu ni mwema tukawa tunawasiliana vizuri tu kila mtu yupo free kumpigia au kutyma sms kwa mwenzake...
  19. kaburu mdogo

    Kukoja kila baada ya kumaliza tendo

    Kabla ya natanguliza shukrani zangu kwa ushauri ninaoupata mara kwa mara ndani ya majukwaa mbali mbali ya jamii forum Tafadhali kuna tatizo linalonisumbua la kukoja mkojo wa kawaida kila ninapomaliza tendo moja la kujamiina(goli moja kwenda jingine)pindi ninapokua na mpenzi wangu. Tatizo...
  20. kaburu mdogo

    galaxy s4

    nimenunua galaxy s4 ni mpya nimeweka interned imekubali vizuri sana na kwenye browser ya kawaila kama opera inafungua vizuri sana. tatizo kuu linalonikabili ni pale ninapotaka kufungua vitu kwenye play store kwa ajili ya instal kwenye simu yangu kama whatsup inagoma kufungua kwa kuniambua...
Back
Top Bottom