Search results

  1. J

    UTEUZI WA IGP-RAIS AMEVUNJA KATIBA; Hakuna Naibu IGP kwenye Katiba

    Nafasi zote katika ngazi za serikali zingekuwa zinatangazwa na watu wana apply kama zilivo nafasi zingine. Hapa ndo tungekuwa tunajua strategies na goals za hao candidates katika kukabili changamoto zilizo mbele yao na si mambo ya kuteuana pasipo kuweka wazi vigezo vilivyo tumika. Mwisho wa siku...
  2. J

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa

    Kijana naona unaanzisha thread kwa manufaa binafsi na unajikuta unadhalilisha uwezo wa upeo wako. Hao unao ona wanafaa wameshindwa kuli address hilo tatizo toka tupate uhuru mpaka jimbo linachukuliwa na Mnyika. Huwezi kusema yeye ka prove failure ndani ya miaka michache tangu aingie madarakani...
  3. J

    Alama za nyakati hazihitaji jicho la tatu kuzisoma

    Kila siku linazuka jipya la kuturudisha nyuma kimaendeleo kutokana na maamuzi ya watu wachache ambao wanatuendesha kama gari bovu pasipo wao kutambua kuwa alama za nyakazi haziitaji jicho la tatu kuziona...
  4. J

    ITV na udhalilishaji wa wenzetu wenye ulemavu..

    Tena hiyo ishu sio news tena ya kufanya mpaka ipewe airtime ya kipindi maalum inatakiwa wa edit na ku make it KISS
Back
Top Bottom