Nakuunga mkono, Walicho kifanya Muhongo na Maswi nikuwachanganya wabunge wakashindwa kujadili ufisadi wa makampuni yanayo zalisha umeme km vle Songs, Agrco, Iptl nk na kujadili tuhuma za ztt! Yaani bunge la upinzani limekosa mwelekeo wamenasika ktk mtego wa ccm! Badala ya kujipanga nijinsigani...
Nauunga mkono hoja, Marehemu BB/ wa Taifa alisema hawezi kuongoza,pamoja na rafiki yake EL, sasa wakina Mwinyi, Ngombale, kinana nawengine, 2005 wakajifanya hawajui aliyo yasema BB/ wa Taifa mwka95 japokua Mkapa(M/kiti)wakatihuo alifurukuta lkn alizidiwa, matokeo yake tukapata kiongozi mwenye...
Huu msemo 'HIZO SIASA' au mimi 'SIYO MWANA SIASA' imezooeleka sana kwa Viongozi wetu. Hasa kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya na Wababe wetu 'PWOLISH!', mimi sikubariani kabisa ya kwamba jeshi la Pwolish lina linda raia, wameishakua majambazi tu!
Dk Slaa ndiyo tegemeo letu si kwa cdm tu watanzania wote. Mbowe W/Mkuu, Ztt W/Nishati Lema Mambo ya ndani Lisu Sheria na ktba, H,Mdee Aridhi, Mnyika W/Nchi ofisi ya Rais utawala Bora, Prof Baregu Ktb Kiongozi, Marando AG (2015)
Nakushukuru Ndeti....Mawazo yako mazuri inabidi tugangamale Viwanda vyote vya nguo vya uma vilipo uzwa tu nasisi tukakwama, Hasa kile cha Ubungo Spining ndiyo kilikua mkombozi wetu, Mbaya zaidi zile mashine zili ng'olewa na wale wahindi kwa madai wanaleta za kisasa toka mwaka97 matokeo yake...
Mchango wako ni mzuri sana, sasa tufanye nini ili Rais atu saidie tatizo letu kubwa ni Bei ya Nyuzi kupanda mara3, Wiyara wana piga danadana, halafu nilicho kugundua Wizara haina habari kama viwanda hivi vipo hili nalo ni tatizo
Nataka ni muombe Mh, Rais Jk. Atusaidie kututatulia swala hili la upandaji wa bei ya malighafi(Nyuzi) ilipanda toka mwaka 2009 mwezi9 kutoka 5,900 hadi 9,000 kwa madai ya kwamba Pamba hakuna wanaagiza ktoka nje, chakusikitisha sasa hivi pamba ipo kwa wingi Bei ime ongezeka kg1 Tsh,13,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.