Search results

  1. Codon

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    Ningeshangaa hahaha!Yaani mtu unafanya usafi mwingine anatapita kuchafua!Sio kunyea ndoo tu,mngefanya usafi mara nne zaidi!
  2. Codon

    Edo Kumwembe: Afrika ni bara la Kipumbavu zaidi kuliko Mabara mengine yote hapa Duniani

    Tuangalie vizuri mada zetu!Ukifikia kusema familia yenu niwapumbavu jiangalie vizuri.Unaweza kuta wewe ndie mpumbavu!
  3. Codon

    (Wabunge Mizigo) Ni aibu kwa Mbunge ambaye hajachangia hoja hii ya Escrow mpaka sasa

    Nadhani unawatu wako ila unaogopa kueataja majina!Wataje bana!
  4. Codon

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Ndio maana naomba liishe!Maana Muhongo alisema wasikate tena ni agizo!Kumbe ndio anawaambie nikimaliza tu kujitetea anzeni tuliyokubalia!Yaani kateni mpaka liishe!Nanna wahakikishia leo bunge likienda mpaka usiku nao watakatiwa leo!
  5. Codon

    Suala la ESCROW limejaa hisia kuliko hoja

    Mtoa post inamaana 21b kwenu nihela za sokoni eee?Unakoleza mimi sina kadi yachama chochote!Usijekuta Prof umebadili ID hapa!Wewe pumzika kiungwana tu maana kadri unavyoendelea kung'ang'ania hicho kiti ndio unazidi kuleta shida!Tukipigana mimi sitomlaumu Kafulila,Zitto wa Filikunjombe...
  6. Codon

    Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

    Bora liishe hii adhabu yakukata umeme wanayotupa ili tusione bunge itaatuathiri sana!Wengine kazi zetu welding !
  7. Codon

    Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia, Hakuna Yeyote wa Kuwajibika

    Pascaoooooo!Wewe acha woga!Usiwe kama kalai lazege jengo likiisha thamani yako kwisha!
  8. Codon

    Nataka kununua Tablet, aina gani ni nzuri?

    Sijui unahitaji kwakutibu nini? Kabla hujapatashida chukua paracetamol mkuu!
  9. Codon

    Leo kali: foleni Ubungo mpaka Magomeni Usalama

    CCTV Zinakuja mkuu!Flyover naona ndio inawekwa ubungo muda si mrefu mtavuka mkuu!Ila kama unakuja mbezi kimara,ukifika kimara mwisho tu mziki unaanza upya mpaka kwamsuguri.
  10. Codon

    Kwanini watu wengi wa Moshi wanapenda kujiita wanatoka Arusha

    [QUOAcha ubaguzi wewe,nini cha ajabu Arusha?Kwanza wachaga ndio wenye hela hapo mjini! TE=bugzbunny;10589268]Hii inaukweli sana tu, unajua arusha kumeendelea na ni mji mkubwa eneo lile, hivo mtu wa moshi akija dar ili asionekane mshamba inabidi ajifanye chalii , kwasababu...
  11. Codon

    Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

    Mpinga shetani nimekusoma.Nikweli mambo hayoko sawa kwajinsi inavyoonekana kwanje.Ila niswala lamuda tu.
  12. Codon

    Kuacha kazi serikalini

    Hakuna kitu kama hicho!Mimi niliacha nanikaomba tena serikalini nikapata.Labda waanze leo huo utaratibu.
  13. Codon

    PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

    Maabwe pande sasa hivi Baba V!Nahutorudi tena!
  14. Codon

    CDM: Helicopta 3 kutua Dar siku ya kufunga operation

    Kweli wewe kinyesi juu ubongo chini!KIA iko kwenu kwamba wachaga hawajui ndege?Mwenyekiti alisema tuwe tunachanganya nazakwetu sawa!
  15. Codon

    CDM: Helicopta 3 kutua Dar siku ya kufunga operation

    Acha uongo wewe,Wangemchagua mnyika na Halima Mdee?Nahao madiwani wachadema huwaoni hapo Dar?Fikiri kabla yakuposti wewe!
  16. Codon

    Wachaga ni Noma!

    Nanyie mkifanya hivyo nahuhakika next time kila mtu ataongeza juhudi kwenye utafutaji.Hapo maendeleo yatakuwa yakwenu nasiyamwingine.
  17. Codon

    wachaga mbona mnawalazimisha dada zetu mliowaoa kunywa damu

    Mimi nimchaga tena wahukohuko Marangu nanimtoto wakiume hayo yakula damu nimapenzi yashemeji mwenyewe,binafsi yangu huwa sinywi kisusio hata kidigo nawanajua hilo nahuwa wananitengea kabisaa nyama nasupu yangu.Kula au kutokula nimapenzi yamtu binafsi.Swala lakulazimishwa hapo halipo,Futa.
Back
Top Bottom