Search results

  1. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nani anakudanya?
  2. Narekeremo

    Manchester City kukosa mataji yote mawili EPL na FA. Wabahatishaji Arsenal bingwa leo

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] unajisikiaje hadi muda huu
  3. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Leo vijana wamechafukwa yaani hawa wagonga nyundo leo wanakufa kifo kibaya sana
  4. Narekeremo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Labda wanajenga mnara wa England premier league. [emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Narekeremo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pep.hanaga ujinga na game za mwisho subirini mje muone wagonga nyundo wenu watanavyo gongeshwa.
  6. Narekeremo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yamekuwa maombi ya hivi tena hahahahahaaaa, Maombi ya kunimaliza.
  7. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hili nililisema mapema.
  8. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mkuu tayari biashara isha isha nilisema before wakijifanya wanaufahamu mwingi watakula cha pili.
  9. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mkakati wa Pep.leo ndio huo ni kuwaacha wauchezee ila yeye anachokita ni point 3 mhimu.
  10. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    kimoja kinawatosha wakamsimlie Arteta
  11. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Watumwe wasitumwe lazima wakae
  12. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ederson and K. De Bruyne out 69' S.Oterga and J.Doku in acha mapambano yaendelee leo ni leo asemaye kesho ni muongo huu ni usiku wa deni haukawii kucha.
  13. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hapa spurs akiendelea kujifanya anaujua atakula cha 2,leo Pep.yupo kimkakati zaidi.
  14. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Goooooooaaaaaaaaaaal! 51' E.Haaland our Brilliant
  15. Narekeremo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Spurs hana pakutokea kifo kinamhusu iwe jua iwe mvua
  16. Narekeremo

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Mi naona tuwe na moyo wa huruma kwa hawa vijana wetu wakata miwa. yaani msimu huu inaonesha kuimaliza biashara mapema kabisa tena ikiwezekane leo Doctor Gamond awapange kina Nkane.
  17. Narekeremo

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Guardiola &Gamond eakichungunzwa watakuwa ni ndugu hawa watu .
  18. Narekeremo

    Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

    Nyie kolo tumeni maombi tuwape wachezaji wote maana sie hata tukibaki na kina Nkane bado kichapo mtachezee tu iwe isiwe.
  19. Narekeremo

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Hata hivyo Wanachi huwa hatuna bifu na hawa vijana laiti angelikuwa kolo angekula kono la nyani
  20. Narekeremo

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Hizi timu tinazionea tu mlengwa kashatukimbia ndo tulikuwa tunamtaka
Back
Top Bottom