Hi Jf members,ninatafuta shamba la heka moja tu lililopo nje ya mji wa singida,liwe eneo linaloweza kufikika kwa urahisi mfano eneo la Mwembe mmoja na Mandewa.
Hivi mfanyakazi anafanya kazi za boss wake au anajitungia?tatizo la nchi hii wanasiasa hukaa na kuropoka bila kushauriwa...hiv mfanyakaz gani afanye kazi siku 30 kwa moyo kwa ujira wa sh.laki 2.5 huku mwanasiasa anajipangia sh.laki 3 kwa siku...huyo huyo mwanasiasa alikimbia umande??wanasiasa...
wewe utakuwa mjumbe wa bunge la katiba tu kwani naona huu uzi umekuudhi sana...mishahara hadi leo tarehe 31/08/2012 haijalipwa labda wew unayelipwa sh.laki 3 kwa siku ndo maana unasema ni porojo.Kwa kweli inasikitisha hakuna kiongozi yeyote ambaye ametolea ufafanuzi juu ya mishahara ya mwezi...
Tabia ya kukatika katika kwa UMEME hapa moshi bila taarifa inatia shaka,hivyo tunaomba wanachi wa moshi tupewe maelezo ni kwa nini umeme unakatika ovyo?Je, yule Profesa wa nishati,yupo hapa nchini?Si aliahidi hakutokuwa na mgao?Je ameshindwa au?Kwa mfano kuanzia saa tatu asubuhi hadi sasa bado...
Leo saa tisa kamili nimeangalia ITV katika kipindi cha habari za SAA na kuona hali ya hatari kabisa MSOMA mara, nimeshitushwa kuona watu wakipigana kana kwambwa hakuna SERIKALI?. UVCCM Msoma wametwangana kweli kweli na uchugazi umeahirishwa...kwa kweli inasikitisha na kama ingekuwa hali hiyo...
​Leo saa tisa kamili nimeangalia ITV katika kipindi cha habari za SAA na kuona hali ya hatari kabisa MSOMA mara, nimeshitushwa kuona watu wakipigana kana kwambwa hakuna SERIKALI?. UVCCM Msoma wametwangana kweli kweli na uchugazi umeahirishwa...kwa kweli inasikitisha na kama ingekuwa hali...
Tatizo wana CCM wengi hudhani uongo unazidi ukweli na kwa sababu habari za umbea huaminika kuliko kitu halisi....Picha hiyo ni kweli kabisa,mimi sina chama cho chochote ila huwa napenda kusikiliza sera za vyama tofauti,hivo nilishuhudia umati huo hapo Morogoro. Amini usiamini hiyo picha ni ya...
Hali inaonyesha kuwa vijana wengi na wazeee hasa wale waliokuwa vyama vya CCM na CUF wamehama vyama hivyo na kukiunga mkono CDM. Mfano mmoja wapo ni pale Tawi moja wapo lililokuwa na washabiki wa chama cha CUF karibu na BUSH BAR...SUA ROAD limebadilika na kuwa CDM.kama upo morogoro pita hapo...
Daaa...jamani hapa MOSHI maeneo mengi umeme umezimwa na TANESCO, Sijui kama ni matengenezo au ni kutukosesha uhondo wa mkutuano wa CDM Jangwani through ITV au ni nin jamani?daaa...nasikitika...sana nchi yangu....
Magesaaaaaaaa! kweli umemua bro.komaaa kaka,mwanzo mzuri ila jiandae kwa vita kali kwani sidhani kama atauachia kirahisi rahisi.
Ushauri: weka mikakati rahisi na sahihi....!
Hapa moshi mjini, nimezunguka vituo vya GAPCO, NGILOI Petrol station, BP Petroleum nimekosa PETROL,nimekuta kibandiko kwenye shell husika kikisomeka hivi " NO PETROL" hali ni mbaya kabisa. Tatizo ni kubwa,hivo katika kuulizia kwa nini hakuna mafuta,si mhudumu yeyote aliyekuwa tayari kusema...
Kweli nimekubali, Bro.ngurumo, ni ngurumo ,hivi watawala wetu hawayasikii haya au wanaziba masikio kwa pamba tuu kazi ni kucheka cheka tuu?napita nitarudi...
watu wale wale,cjui kama kuna mpya hapo, kwani wengi walikuwa nje ya system kwa muda na cha moto wamekiona mfano ni Dr.Kamala aliyekuwa anashinda pale Moro,nje ya nyumba ya kulala wageni inaitwa VANILA.je wataanza wataanza na lipi kuwakilisha au kutafuta posho?Kwani wengi walipigwa chini ubunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.