Search results

  1. bowlibo

    Orodha ya makabila ya Tanzania

    Wenyewe nimewauliza wamesema hawataki kuchanganywa
  2. bowlibo

    Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

    Mi namjua yule dada wa dengue fever, aisee inauma sana
  3. bowlibo

    Pombe ni starehe isiyofaa

    Mtu huyu huyu tukisema gesti na lodge zipigwe marufuku atang'aka kama paka. Huu ni ubinafsi, pombe ishapigwa marufuku uarabuni lakini matajiri wanazo kwenye mafiriji yao hapohapo Riyadh na Muscat
  4. bowlibo

    Mwanamke mbishi

    Rudia kusoma budaa, nikirudi nishamaliza hukoo niko mwepesiii 😂😂
  5. bowlibo

    Mwanamke mbishi

    Sure nimejiongeza asee
  6. bowlibo

    Mwanamke mbishi

    Ya nini, nyumbani nisizae na kwa kimada nisizae? Masihara hayo
  7. bowlibo

    Mwanamke mbishi

    Tunapitia mengi pole sana Wa kwangu ni msafi kupindukia yaani ndani ng'ari ng'ari mpaka air freshener. Ila sasa mbunye kwa mbinde, nimeamua kutafuta kimada. Nikirudi niko mwepesiii namhug mabusu halafu tunalala tu, Sasa nifanyeje?
  8. bowlibo

    Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

    Wanicheke kwamba wao wana raha gani. Haohao ndo kila siku wanalalamika na ndo hawaipendi ccm kishenzi. Bora sisi wagogo imetutupa lakini bado tunajikomba nayo
  9. bowlibo

    Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

    Ccm hawajawahi kufanya jambo la kuwafurahisha watanzania. Sijui wanatuonaje
  10. bowlibo

    Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Umewakilisha wengi. Sana yule aliyekuattach na mtoto ndo anayekufahamu ilitakiwa angalau apokee simu yako. Nimegundua wa Mwanza alitua mzigo, huyo mwenye mzigo ni mwehu hasaa
  11. bowlibo

    Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Usihame fanya juu chini umroge huyo jirani afe. Na kila atakayerithi biashara roga ua full stop
  12. bowlibo

    Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    nilikuwa namaindi kimyakimya mtu kwenye pickup kakaa juu ya nyama asee
  13. bowlibo

    Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    halafu anajifunika kuiona sura yake utoe sh 50 au 100
  14. bowlibo

    Evance Aveva Afungwa kifungo cha nje, Kaburu aachiwa huru

    wamemfungia nini sasa, hiyo ofisi yenyewe iko wapi hopeless
  15. bowlibo

    Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

    mwamba akili yako imenifaa hapa nilipo. good knowledge
  16. bowlibo

    Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Diallo naye nina mashaka na utimamu wa akili yake, kwa nini hataki katiba mpya
  17. bowlibo

    Somewhere in Tanzania you will meet these beautiful people

    hao sio watoto wa kijijini, mbona wanono sana.
Back
Top Bottom