Search results

  1. M

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Lusinde amejidhalilisha sn na chama chake, sidhani kama akili yake ipo sawa, yeye alidhani anawakomesha CDM kumbe anawaombea kura, USELESS LUSINDE SHAME ON YOU, you will always be a looser Non sense
  2. M

    Wadau nani ana CV ya Director General wa TANAPA Mr.Allan Kijazi

    To be honest umenisikitisha sana, kumbuka hapa kwa great thinkers ambao wanataka kupata vitu vya kujifunza na kupata habari mbalimbali ikiwa ni pamoja na ajira, wewe unasema tukupe CV ya DG wa Tanapa? Au shida yako ulitaka tucoment shits juu yako,CV ya Kijazi itakusaidia nini kama sio udaku...
  3. M

    Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

    Fine, kama umegundua hayo mapungufu ya GG nadhani kwa kumsaidia ni vema ungemtafuta ukampa huo ushauri ili abadilike na sio kulalamika kwetu, unatwambia sisi tufanye nini sasa kama sio unafiki wako nadharau eti chou alichosoma heheheeee haitakusaidia hiyo hata kidogo au mwenzetu umesoma Havard...
  4. M

    Magufuli alikoroga, Maandamano makubwa kumpinga leo

    Jamani Watanzania wenzangu hebu tutizame kwa mapana zaidi swala hili la gharama za kivuko na wala tusiweke siasa katika hili, nadhani swala la msingi hapa ni kutizama kama kuna ufisadi unafanyika au laa, hebu tujiulize ni miaka mingapi imepita sasa toka kupandishwa nauli ya kivuko (miaka 14) je...
  5. M

    Jamani cv zenu

    Thanx Jeff n all the best.
  6. M

    Jamani cv zenu

    Yes wapendwa nimewapata sana na nawathamini sana, Kuna njia nyingi sn za kuconstruct CV yako issue kubwa hapa ni vitu gani muhimu employers wanapenda kuona na kwa maana kwamba vinakuuza wewe against other cv. 1. Siku zote usitumie hiyo cv yako moja uliyoandaa miaka kadhaa iliyopita kuombea kila...
  7. M

    Jamani cv zenu

    Hey Guys, tatizo ambalo pia naliona wazi kwa wengi wenu ni namna ya kuandika cv yako ili imvutie mwajiri na pia kushindana katika soko. Hata kama CV yako ni ya page moja hasa kwa wale fresh lakini unaweza iweka vzr, Please work on that, waajiri wengi nowdays wanaangalia CV hata kabla ya vyeti vyako.
  8. M

    ....new jobs 7 dec ...

    hizi kazi za LAPF ni kiini macho
Back
Top Bottom