Kama unataka kutafuta pesa usianze kuogopa mambo ya wakuu kutaka pesa kwanza. Hii Tanzania wanakuja wahindi, waarabu, wazungu hawajui hata Kiswahili, wanaelewana na hao wakubwa we unashindwa nini kuelewana nao uanzishe hiyo biashara yako??? Da production ya Toothpicks mtaji mkubwa kidogo, kwaiyo...
Mkuu kabla haujaanza kuyachimba jitahidi ujue kwanza QUALITY ya mkaa wenyewe! Kuna wanunuzi wengi wapo, na kuna watu wengi wanataka ku'invest huko! Kiushauri ilo eneo ni lako unalotaka kuchimba????
Specify kila kitu mdada!
Mimi natafuta mke wa pili, nna mke na watoto wawili,...,
upo tayari twende kwa shehe Mwinyi tukakamilishe mambo???
Ila utapata raha zote unazozihitaji!
Kuna mambo mengi yanachanganya kwenye hii habari ya bwana gavana!
Lakini kuna watu wangapi wamekufa Tz hii na watu hawana muda wa kukaa na kuwadiscuss au kua na mashaka kua hawajafa??
Kwanini huyu bwana wapo wengi wanaoamini bado yupo??
Naamini maswali machache ambayo hata mtoto mdogo anaweza...
Bei maelewano maana yake nini...???
Akupe bei walau mtu aamue kuja akiwa anajua mwanzo, mambo ya kuja alafu unakuta kinauzwa 200M so inshu!
Mwambie akupe na bei yake, alafu makubaliano yatafuata, au bei anaruhusiwa kupanga mnunuaji????
Haya mwambie achukue 5M!!!
Unajiandaa kulinda kura 2014 kwenye chaguzi za mitaa????
Njoo ntakupa training, ila inabidi ujifunze kwanza kichina alafu unyoe kipala shaoolin kwenda mbele!
Acha kuchelewa wewe!
We mtafute, kuandika fb yuko single siyo lazima iwe kweli!!!
Lakini, wakati mnaachana kwa mara ya kwanza nani aliyekua chanzo cha matatizo...????
Kama alikua yeye usimtafute, ila kama wewe ndo ilikua sababu mtafute omba msamaha, ila kwakua unaogopa yawezekana yeye ndiye...
Du hii kali,jamaa coin ina pande mbili... Kama umeweza kuona mapungufu yote hayo kwa jamaa, inawezekana pia mkeo akafanya ivyo!!!!
Ila kwa kuangalia ivyo vi'amount unavyompatia mke wa jamaa yako naamini hata kwa kufumba macho havimalizi shida zake zote!
Nathubutu kuhisi inawezekana mmewe pia...
Mhh... Kuna kitu kipo katikati ya mlima wa volcano kinaendelea!
Chunga jamaa, usitume pesa yako kama haujathibitisha uwepo wao na wa uhakika! Usicheze kamali ya kutuma $2,500!
GET RICH OR DIE TRYING
Last edited by JOACKIM THOMAS; Today at 14:40.
POLENI KAMA KUNA WATU AMBAO KWA MIOYO SAFI NA HURUMA ZAO WAMEMTUMIA HUYU MTU PESA ZAO!!!
ILA NDUGU YANGU KUMBUKA STYRE HII INAWAHARIBIA WENYE SHIDA NA MATATIZO YA KUTAKA KUSAIDIWA..
KIUKWELI HIYO SIYO STYRE YA KUTAFUTA PESA KWA KUSINGIZIA...
Haya mambo magumu sana, sipendi kumjudge muomba mchango au kutoa conclusion, ila kuna kila dalili kukawa na kitu mlango wa nyuma, na kama kweli itakua ivyo siyo vizuri kabisa kutapeli watu!!
Mi naomba ujitokeza ujibu vizuri na kwa ufasaha, wewe ni mwanafunzi kweli, au dalali, au unatafuta pesa...
Du japokua hua sio mchangiaji ma topic nyingi, ila hii bora nichangie..!!
Ila ikumbukwe kutoa ni moyo...,lakini bora ieleweke anaechangiwa ni mtu wa namna gani>>??????????
Nimepitia post zako za nyuma mpaka sasa sijaelewa kama una shida kweli ya iyo pesa>>>!!!
Topic: Natafuta rafiki wa kuchati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.