Search results

  1. M

    Naulizia Assessment center za BRAC Tanzania zilipo

    Nilishawah kufanya usaili kwao but ni wabovu sana hawa wabagladeshi.jamaa angu aliajiriwa hapo hakukaa ata miezi mitatu akaacha kazi.but nakushaur nenda tu kapambane
  2. M

    Naulizia Assessment center za BRAC Tanzania zilipo

    Kipo mbezi samaki jirani na na sheli.
  3. M

    Oral Interview TRA

    Habarini wadau wa JF, Naomba kuuliza kwa wale ambao tulifanya usaili TRA pale mwenge chuo cha Tax kwa nafasi za IT Vip kuna aliyeitwa kwa ajili ya Usaili wa mahojiano. Mwenye taarifa please
  4. M

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Jamani kuna wale tulifanya usahili january tarehr 11 kwa nafasi za IT Hivi washaitwa kwenye oral maana kimya kingi sana.wadau kama kuna aliyeitwa atupe taarifa
  5. M

    Intervies bot vip?

    Its just typing error man.just let me know if already call for interview.only that no matter
  6. M

    Intervies bot vip?

    Wadau naomba mwenye update yeyote kuhusu nafasi zilizotangazwa july na bot kama washaita raia.asnteni wakuu
  7. M

    kibaka

    Kibaka Alisa ktk hekaheka zake si nikamfuma Mitaa ya ubungo tanesco.
  8. M

    Huyu jamaa alikuwa anavizia kuiba usiku mitaa ya ubungo

    Katika pitapita zanying c nikamfuna kibaka ucku anataka Chana wavy.
  9. M

    Hello

    Asanteni wakuu
  10. M

    Job resign

    Da we unatamani ila nikikuleta apo nadhani kesho yake hurudi tena.tatizo c hata mshahara pia muda unaofanya kazi na pia hawana utu mkuu.pia kazi nyingi sana hadi ukifika home unahisi kuchanganyikiwa then ni very risk job
  11. M

    Job resign

    Unajua NI WATU WACHACHE SANA WANAJUA HILO.WANAFIKIRI MTU UNAVYOAMUA KUFANYS HIVYO HUPEND PESA.ASANTE MKUU KWA USHAURI nalipwa 7000 per day nimekaa kitaa then sa hv nimepata pamoja siyo nzuri sana na ni ya muda ila sifanyi masaa 14 kama hiyo ya kwanza hawa wahindi we ngoja policy ibadilike lazima...
  12. M

    Job resign

    Ebu wana jf nipeni ushauri kwan nimeamua kuresign kaz niliyonayo kwani nalipwa laki 2 tu then mafanya kazi more than 14hrs without overtime ni kampuni ya wahondi then ukizingatia mi ni graduate wa computer science.ebu nipen ushaur jamani hawa wahindi siyo watu wazuri labisa
  13. M

    Hello

    Wana jf habari ya majukumu ma maoni.nimefurahishwa na nimependa safu hii.
Back
Top Bottom