Search results

  1. M

    TBC1 na mitambo ya kichina, kauli ya mzee Reginald Mengi

    TBC-Radio hawasiki kabisa vijijini na hata kama ninataka kusikiliza taarifa muhimu basi inakoroma na kukata mawimbi. Lakini radio zingine kama vile radio free africa, kbc, radio mozambiki bbc na zingine nyingi zinasikika vizuri tu LAKINI TBC sijajua kabisa tatizo lake. Tupo wengi tunaopenda...
  2. M

    Wasokuwa na upande wowote KISIASA = WAKWELI

    Wanasiasa wote wana lengo la vyama vyao na mitizamo yao. Jamii forum iwe na kipengele cha kuwakosoa na kuwashauri wanasiasa hata wanajamii forum wenyewe. Kiongozi au mwanasiasa asiyekubali kukosolewa hatufai LAKINI anakosolewa na nani ? Mimi naona ni vizuri kuwapo na chombo hiki hata...
Back
Top Bottom