Search results

  1. R CHUGGA

    Hivi askari wa Moshi na Arusha hawatoshi?

    Leo asubuhi nimeona msafara wa magari manne yaliyojaa askari na gari la maji ya kuwasha yakielekea njia ya Chalinze-Segera nilipofuatilia nimegundua ni askari wa Ukonga na wengine wa Pwani na wanaelekea huko Arumeru kwa ajili ya ulinzi. Ndo nauliza inamaana hao askari wa Arusha Moshi hawawezi...
  2. R CHUGGA

    Ushauri jamani

    Naomba ushauri wenu katika hili! Ngozi ya korodani inapokuwa inatoa kitu kama fungus-yani ngozi inakuwa kama ina magamba halafu ni upande mmoja tu,katika korodani la kulia. nimetumia sabuni nyingi za ngozi lakini bado inaendelea. Hivi hii inasababishwa na nn hasa na nini tiba yake? Nahitaji...
  3. R CHUGGA

    Hello jf

    Mgeni nimeingia jamvini!!!!!
Back
Top Bottom