Usichangie acha wanaotaka wachangie hakuna mtu atakupeleka jela au mtoto wako kufukuzwa shule. Usitoe hata kumi kugharamia elimu ya mwanao kwa kuwa elimu ni bure, usikubali kupelekeshwa 😂😂
Ujitambui kabisa wewe na wazazi wenzio, mnawekewa kambi kwa kuwa mitoto yenu vichwa vigumu na wakikaa mtaani hawasomi ni kubeti na kulima vibarua ila mnataka muone matokeo mazuri.
Mchango sio lazima acha kuchangia uone kama mwanao atafukuzwa au atapigwa bakora, wewe kama uoni umuhimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.