Search results

  1. No admission

    SUMATRA yafungia daladala Dar

    Sisawa kushusha nauli. Serikali yenyewe imeongeza kodi ya mapato kwa zaidi ya laki moja ukilinganisha na kodi ya mwaka jana. Je kwanini wao waongeze kodi bila kufikiria wamiliki wanapata wapi hiyo pesa ya nyongeza?
  2. No admission

    Tb Joshua alivyonipa utajiri

    Sikiliza wewe mwanamahesabu. Kama jamaa kanunua fuso ya kwanza mwezi wa kwanza. mwezi wa pili kafungua mgahawa mwingine, mwazi wa tatu kanunua fuso na kufungua mgahawa wa tatu. Je mwezi wa nne atakuwa na uwezo kiasi gani? Utabakia Tshs 2M kama mahesabu yako yalivyo sema. Kweli hesabu ni tatizo...
  3. No admission

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Naomba niiweke sawa. 1. Hakutaja raisi atakayetekwa ni wa ni gani 2. Amesema kutatokea mauaji kama yale ya kenye kwenye nchi moja ya Afirca Mashariki lakini si Kenya. Akaendelea kufafanua kuwa nchi hiyo yalishatokea mauaji kama hayo wakati watu wakiwa wanakunywa na kujirusha. 3. Ameomba kila...
  4. No admission

    Mwigulu toka Bungeni: CHADEMA ndio waliolipua bomu mkutanoni kwao

    Hata lile bomu lililo lipuka kule Boston Marekani video ilipatikana mwanzo mwisho kwa hiyo kwa akili yako kuwa nayo ilipangwa. Ebooo be serious
  5. No admission

    Birth of a Wise Man...

    I just love it. I thank God for choosing me to be a father of three children!!!! but also a SON to one old man in the hills of Kilimanjaro!!!!!
  6. No admission

    Kawambwa akacha bunge ili kuchakachua matokeo: Akwaa kisiki kizito NECTA

    Jamani tuelewane waheshimiwa kwakuwa kosa la kufeli kwa wanafunzi si lao kwani tumejenga madarasa mengi lakini hatukuwa na waalimu na vitendea kazi vya kutosha basi TUSHUSHE ALAMA ZA UFAULU HADI 10% TUKISHAWEKA VITENDEAKAZI NA WALIMU WAKUTOSHA TUTARUDISHA HIVYO MUNAVYOVIHITAJI. Tunaelewana...
  7. No admission

    Better being Single-Ndoa majanga tu

    Naomba usigeneralize mimi nilikuwa kwenye urafiki+ uchumba miaka sita na toka tumeoana ni mwaka wa nane sasa maisha BOMBA RAHA KWA KENDA MBELE. NODA TAMU BWANA!!!!!
  8. No admission

    CHADEMA wangekuwa na maono kama ya Zitto wengi tusingehama, Vurugu zinawapotezea credit kwa jamii

    Watu wote ccm ni kama zito ndiyo sababu umehamia huko!!!!!!!!!
  9. No admission

    Message from President al-Assad to Tanzanian President on Situation in Syria

    The issue is how all these started? Ilianza kama maandamano ya CHADEMA wanayofanya kupinga serikali iliyopo madarakani. Na Asad badala ya kutafuta namna ya kutatua na kusikiliza kero za wananchi alileta jeshi kupambana na waandamanaji? Je nani mwenye kosa. TO ME ASAD HAS TO GO!!!!!!
  10. No admission

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Tatizo ni kuwa Mkuu wa Wilaya na Mkoa wote ni makada wa CCM je ungetegemea nini? Mbunge anatoka chama cha upinzani maana yake kwa TZ ni kumpinga kwa kila atakachokifanya. Lema ametumia hii kujitafutia Popularity and this is what is called Politics!!!!!
  11. No admission

    CCM tupo katika mwanguko mkubwa

    Mimi pia naona anguko hilo na hakika CCM sichama chakufa chenyewe ila kitakufa kwa kuuwawa na tuliowapa uongozi wa chama chetu. Mimi nasikitika kuwa BUNGE limegeuka la watawala na watawaliwa. Watawala ni wabunge na mawaziri wa CCM watawaliwa ni Wabunge wachache sana wa upinzani. Je wabunge wa...
  12. No admission

    Wassira; udini hapa nchini uliasisiwa katika uchaguzi mkuu 2010

    Awe CHADEMA au CCM MKRISTO AU MUISLAMU KAMA TUTAENDELEA KUCHEKELEA UCHAFU HUU WA UDINI BADALA YA KUPENDANA KWANZA SISI KWA SISI JE HAKI YA MUNGU ITATOKA WAPI? WAWEZAJE KUMPENDA MUNGU UKAMCHUKIA JIRANI YAKO KISA KATAKA KUCHINJA YEYE MWENYEWE NA WEWE ULE. HUU NI UJINGA NA TUTATOKA KWENYE KUCHINJA...
  13. No admission

    Video Clip: CHADEMA walivotolewa bungeni jana/ Serukamba akitukana live

    Mungu wangu wapi hapa tunakwenda!!! Mungu ibariki tazania kwani huku tuendako bunge litaishia kupigana vijembe na kusahau kujadili matatizo na mustakabali wa nchi yetu. Hakika bunge limepoteza muelekeo. Hivi ilikuwaje wakati wa sita mbona haya yote hayakutokea? Mwenye macho haambiwi tanzama...
  14. No admission

    Magari ya Serikali kuonekana kwenye kumbi za starehe nyakati za Usiku

    Mkuu mbona gari hili linaonyesha limewasha taa? Siyokuwa lilikuwa kwenye motion?
  15. No admission

    CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Tutajuaje kuwa barua hii imeandikwa kweli na Zito? Hata signature hakuna? Kwaheri
  16. No admission

    SAKATA LA UCHINJAJI WA NYAMA; Wafanyabiashara wa nyama mjini Tunduma wahofia usalama

    Tuanzishe machinjio ya kisasa ambapo wanyama wote wanachinjwa kwa mashine. Nchi zilizooendelea unakula nyama hata hujui imetokea wapi tunachojalitu ni je ni kitimoto au vipi? Otherwise ni halal. Kuhusu nani achinje na nani asichinje ni mawazo ya kiumasikinitu kwani kuchinja ni kama kazitu...
  17. No admission

    Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    Ndg yangu kumbe umebanwa utukane CHADEMA ili upitishe makontena yako kwa kodi kidogo bandarini duuu kweli CCM INAWENYEWE
  18. No admission

    Maajabu ya Kampala International University

    Thia is not serious hasa swali la tatu na majibu yake hahahahahaaaaaa
  19. No admission

    Hivi Mwanamke Ni SURA au TABIA semeni ukweli!

    Kwahiyo kama mke wako ni mrembo kweli lakini njema zinabanjuka naye wewe poatu kwanini kujali bado uzuri siupotu?
  20. No admission

    Hii ndo hali halisi, tusaidiane tu kushauriana jinsi ya kuikabili

    Hii mada ni nzuri sana kwani na mimi nimuhanga wa hii kwani masomo yameniweka mbali na mke wangu na watoto kwa miaka miwili sasa na bado sijamaliza. Hakika nakubaliana na wachangiaji wote hali hii ni ngumu sana. Nini ninachofanya kukabilian na hali hii? 1. Na skype na mke wangu angalau kila siku...
Back
Top Bottom