Search results

  1. nyabhera

    Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

    Tabora and Katavi is Sukumaland in extension. And Sukumaland is the core of lake Zone. Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  2. nyabhera

    Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

    Political, economically and Socially Tabora na Kativi ni attachment ya kanda ya ziwa. Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  3. nyabhera

    DRC: Yalipuka mapigano makali kati ya waasi wa M23 dhidi ya Wazalendo

    Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23. Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi na wanamgambo nje jeshi la nchi. Wengi ni vikundi maarufu kama Mayi Mayi na Nyatura. Wazalendo...
  4. nyabhera

    Uganda yavamia ardhi ya Sudan ya Kusini na DRC

    Laana ya kupenda kuhamisha mipaka na kupanua ardhi yao bado inaiandama nchi ya Uganda. Tangu October 1, 2023 kumekuwepo na tafurani ya mipaka kati ya Uganda na Sudani ya Kusini na DRC. Hoja zinataja kuwa bila mawasiliano yoyote Uganda wamehamisha alama za mipaka na kuingia katika mataifa hayo...
  5. nyabhera

    Kamanda Kamuhanda kuhamishwa Iringa, yadaiwa chanzo ni mauaji ya Mwangosi!

    Maisha ni fumbo juzi juzi nikakutana kamanda Kamuhanda amesitafu anaishi Mwanza. Nikacheka sana. Kachoka ana Harrier Imechoka balaa. Hah Tuishi kwa wema na upendo. Maisha ni safari tu
  6. nyabhera

    Ikiwa Mazishi ni Ibada, basi usiingilie ibada za wafu . Waache wafu wawazike wafu wenzao

    Mwl Makungu bado uko baridi ndugu yangu. Umeongea point sana. Ila sijui kwa nini nimekumbuka ndungu Mwl Deo yule Mwl wa Nyamagana aliyefunga. Alikuaga na maandiko fulani. Sasa kijana naona baada ya siasa kukuvuruga umepata mvurugano wa idol Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  7. nyabhera

    Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    Kweli Lissu kama mtu aliyehai anawajibu wa kutubu hasa vibe aliloonesha kwenye msiba wa JPM. Kisha hata Mimi nitamuunga mkono.
  8. nyabhera

    Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

    Haha Mimi mkinipa hela ninaslimu. Zikiisha ninarudi kwa Yesu wangu
  9. nyabhera

    Cheo cha Brigadier Jeshini Kirudishwe

    Tujuze maraia
  10. nyabhera

    Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Haha. Na umri pia. Na mie nilikua mdau. Ila nilibadili Ac kwa kubadili personality. Hahah.
  11. nyabhera

    Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Mzee vipi mambo. Miaka ya 2008 nilikua nakukubali sana kwenye mada za mambo ya security. Sikuoni siku hizi
  12. nyabhera

    Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

    Unajua maana ya Waziri. Tofautisha Waziri na Naibu Waziri. Katambi kama naibu siyo mjumbe wa Baraza la mawaziri
  13. nyabhera

    Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

    Ingekua kinyume ungeona maandishi marefu hapa. Kina Mohamed Said na timu yake
  14. nyabhera

    Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

    Mkoa wa Mara hakuna Waziri. Mkoa wa Shinyanga hakuna Waziri. Mkoa wa Simiyu hakuna waziri. Mkoa wa Mwanza Waziri mmoja Mkoa wa Geita waziri mmoja Kagera waziri mmoja. Lakini hata watu wa Kanda ya ziwa hatulalamiki. Ila iwe vise versa server ya JF Itaanguka. Leo Tanga mkoa mmoja una Mawaziri...
  15. nyabhera

    Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

    Mgekuwa Wasukuma ama Wachaga kungechimbika. Ila Kwa kua Watanga hakuna shida. Nchi hii Wasukuma Wachanga ndo Kwa Sasa wanapigwa mawe
  16. nyabhera

    Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Kabila husaidia kubaini aina ya makuzi aloyopitia mtu. Pia urithi wa kitamaduni katika kuchambua saikolojia ya mtu Hivyo hapo nimekusudia kumuonesha Sheakh Kebeke hoja zake utamaduni wake na elimu yake. Kutaja Umanyema wake inamaana kunasabisha.
  17. nyabhera

    Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Ni lengo la Ukristo kuhubiri na kuwafanya mataifa wote kuwa Wakristo. Hilo si lengo la RC ama white father TU. Hiyo ndiyo mission ya Yesu kwa wanafunzi wake ya mwisho. Katika kuhubiri na kubatiza huwalenga wote wasiolijua neno la Kristo wawe Wapangani, Budda ama Islamu. Na hapo sioni kosa kwa...
  18. nyabhera

    Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Asante kwa kukubali kuwa hayo mashirika ni sehemu ya kanisa, ni kama jumuia TU. Na ndiyo kanisa lenyewe. Ok. Sorry kwa kukutukana. Pia siitwi Nyan naitwa Nyabhera.
  19. nyabhera

    Makabila yanayopatikana Morogoro na wilaya yanakopatikana

    Masai na Sukuma kwa kilosa, Malinyi na Ulanga ndiyo majority
  20. nyabhera

    Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Leo ndiyo nimejua kumbe ww ni debe tupu. Hayo mashurika yamesajikiwa wapi? Ushawahi kuona ofisi ya White father. Nikusaidie hayo ni mashirik chini ya RC ni sehemu ya kanisa. Na ndiyo kanisa lenyewe
Back
Top Bottom