Search results

  1. collycool

    Vituko vyake mabasi ya mwendokasi

    Habari wakuu Leo nimeamka kama kawaida naenda zangu kibaruani, kufika pale terminal ya kimara nikakuta utaratibu mpya kumeanzishwa mizani, kwa hiyo gari halitoki bila kupima mizani Basi nikaingia kwenye gari kama kawaida kwa kugombania nikaambulia nafasi ya kusimama nikaona sio issue maana...
  2. collycool

    9 December

    Haya jamani kesho ndo ile siku iliyokuwa inasubiriwa twendeni tukathubutu, tuweze kisha tusonge mbele maandamano kama kawaida usalama tumehakikishiwa alshabab hawatakuwa na nafasi
  3. collycool

    Ngo ngo hodiiii

    Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama mtafurahi mimi kuwa miongoni nitafurahi pia
  4. collycool

    Ngo ngo hodiiii

    Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama mtafurahi mimi kuwa miongoni mwenu nitafurahi pia
Back
Top Bottom