9 December

collycool

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
203
191
Haya jamani kesho ndo ile siku iliyokuwa inasubiriwa twendeni tukathubutu, tuweze kisha tusonge mbele maandamano kama kawaida usalama tumehakikishiwa alshabab hawatakuwa na nafasi
 
Mkuu mnachanganya watu, na wazanzibar wanachukia kweli, ni miaka 50 ya tanganyika na si tanzania
 
Haya jamani kesho ndo ile siku iliyokuwa inasubiriwa twendeni tukathubutu, tuweze kisha tusonge mbele maandamano kama kawaida usalama tumehakikishiwa alshabab hawatakuwa na nafasi

Hatuna muda mchafu,tunasubiri somo la mswaada wa katiba toka kwa makamanda wa cdm linaloendelea nchini tuhitimu zeni tumwagike barabarani na hatutasikiliza tena taarifa za kiintelejensia
 
Back
Top Bottom