Search results

  1. Black Rose

    Kwanini spika anazima hoja ya kujadili mgogoro wa Madaktari?

    Ishu ya madokta ina usiri gani? Mh Erasto ZAMBI akataka swala hili nyeti lijadiliwe.Spika kakataa na kawa mkali kama Mbogo
  2. Black Rose

    Mikopo ndani ya Ndoa

    Tusijadili hii ishu kwa wepesi sana. Ndani ya ndoa kuna mgawanyo wa majukumu na kila mwanandoa huwajibika. Ikitokea mke/mume anataka pesa za kutimiza yale majukumu yake au anataka pesa kwa kitu fulani, kuna namna mbalimbali za kupata uwezesho kutoka kwa mwenziwe.Mimi kwa mfano, nikihitaji pesa...
  3. Black Rose

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    HEHEHEHH ..sipati picha jinsi Mh Maua Daktari atakavyotibu baada ya kutoku practice kwa miaka yote akiwa siasani! Mi wala sitathubutu anitibu.Ni bora ni google kisha nikajinunulie dawa!
  4. Black Rose

    Magwiji mmu na multi-id's

    Nimependa sana ufafanuzi wako. Hebu tuambie mwenzetu, zakwako nyingine ni zipi maana umehitimisha vizuri sana kama "mnufaika" wa huo mkakati.
  5. Black Rose

    Picha na maelezo: Kikao cha Marafiki Wa Regia BC

    Ikimaanisha nini Mkuu?Nimesoma na kurudia tena na tena sijakuelewa kabisa.
  6. Black Rose

    Tanzania: Huge Gas Deposits Found

    Kichwa cha mwendawazimu siku zote huchezewa na kila mtu
  7. Black Rose

    JF na nicknames.......

    Yeah I got it loud and clear and that's why asked I why would "Lady MS" be nicknamed "Yusuf Makamba"? Refer to what was said by the person I quoted.
  8. Black Rose

    Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

    hehehhe poleee..wenzio baada ya kuolewa yalipungua hadi tunajiuliza kulikoni!?
  9. Black Rose

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    Na je mkikutana, chemistry ikakataa itakuwaje?
  10. Black Rose

    Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    Watanzania tunavuna tulichopanda wala tusione vibaya kwa hili lililotokea leo Bungeni.Kwani hao wabunge waliingiaje bungeni? Si walichaguliwa na wananchi? Je wananchi wanaokufa kwa kukosa huduma kwa vile madaktari wameweka mguu chini kudai haki zao, mbele ya Wabunge wana thamani gani? Mimi...
  11. Black Rose

    Madaktari 38 waondoka nchini

    Hivi, waheshimiwa wataacha kupokea allowances kwenye mikutano na asasi za kiraia, donors na wengine wanaoenda Dodoma kila vikao vya Bunge vikiendelea au ? 330,000/= jumlisha na hizo allowances nyingine...mhhh! Ubunge unalipa asikuambie mtu!
  12. Black Rose

    Madaktari 38 waondoka nchini

    wanapoenda dukani kununua mahitaji hakuna anayewapa "ruzuku" Wanapotakiwa kulipa kodi za nyumba hakuna anayejitolea kuwahifadhi bure Wanapotakiwa kusomesha watoto wao, hakuna ruzuku ya daktari!
  13. Black Rose

    Madaktari 38 waondoka nchini

    Tutaishia kuwasomesha na kuwanyanyasa, kwa ajili ya matumizi ya wengine ... Sijui hii ni principle ipi kwenye "uwekezaji" Tutavuna tulichopanda.
  14. Black Rose

    Hili nimepata kulifanya nikiwa mdogo..

    Inatuonyesha chimbuko la kuharibika kwa maadili siku hizi.Watu wameanza ufirauni toka wakiwa makinda hata hawajajua dunia inaenda wapi!
  15. Black Rose

    Ikulu: Rais hajaidhinisha posho za wabunge!

    SECONDED! I hate the word itself - "posho" halina element ya kitumwa kweli nyie wajuaji wa kiswahili sanifu? Hivi nchi nyingine wanafanyaje? Naambiwa huu ni utamaduni wa nchi za Kiafrika zaidi,Ni kweli ? kama ndio kwanini?
  16. Black Rose

    Just a friend na matatizo yake.....

    My dear, Bora umesema.Ni urafiki wa mashaka..ushaona mbuzi na simba wakaishia kuwa marafiki?
  17. Black Rose

    Just a friend na matatizo yake.....

    Tuko pamoja sana mpendwa! Hata hivyo, wengi wanashindwa kuhimili vishindo hadi ku give in to a relationship esp kama na yeye anajikuta kuvutiwa.Hii mada iliwahi kujadiliwa lakini kivingine na kuna waliotoa ushuhuda kuwa at times wanajikuta waki double roles zote mbili.Hapo hapo ni rafiki wa...
  18. Black Rose

    Just a friend na matatizo yake.....

    Boss, hii mada hutapata wanawake wengi wana admit ukweli.Si unajua tena wanawake kwa pretences hutuwezi! lol Hivi mnadhani kwanini dini nyingine zinaweka mipaka baina ya wanawake na wanaume? Mvuto wa asili uliowekwa na muumba kuukabili yataka nguvu ya ziada.Angalia watoto wanapozaliwa hadi...
  19. Black Rose

    Just a friend na matatizo yake.....

    Gays are nice people.I have several gay friends na hakuna shida hata kidogo.Shida iko kwenye mwanaume ...mwenye hisia kwa mwanamke! Gay tena usiombe maana urafiki wao utafurahia hadi basi. Ni watu wa kutegemewa sana, ni wakweli, wanajali kama marafiki.
Back
Top Bottom