Search results

  1. Loyalist

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Legends never die!
  2. Loyalist

    Alhad Salumu: Tumekuwa tunawaandama Mashoga lakini tunawasahau Mabasha, Wengine wako maofisini

    Swali rahisi sana hili; Inakuwaje tunawajua dadapoa (Machangudoa) makahaba lakini wateja wao hatuwajui?! Na sio ajabu! Tunayajua maduka yalipo lakini wateja wa maduka hayo tusiwajue hiyo ni kawaida tu bro!
  3. Loyalist

    Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

    Wengi wanavaa kiutamaduni (kiasili). Sio fashion wala urembo! Swali lako la pili ni ndio jibu lake believe me! Bangili hilo usifananishe na zile so called "culture".
  4. Loyalist

    Huko ulipo unaipata youtube ?

    Kweli nimejaribu inazunguka tu haifunguki , labda kuna technical problem , let wait and see!
  5. Loyalist

    Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

    Mwigulu hata kuwa waziri tu hafai, sijui kwanini bado hajatumbuliwa?!
  6. Loyalist

    Hatimaye 'viatu vya shetani' vyaingia sokoni by Lil Nas

    Anatafuta kupiga hela tu kwa wajinga, hana maajabu!
  7. Loyalist

    Katika hiki kigezo cha Urais CCM hakifai kabisa

    Jambo hili lilikuwa na busara huko mwanzoni , likionekana kuweka msawaziko wa udini hasa kwenye nchi changa iliyoanza kujitawala kama yetu yaani msingi wa "check and balance!" Ukiangalia wenzetu wa Kenya, bado wana matatizo ya udini, tangu nchi yao ipate Uhuru mwaka 1963 haijawahi...
  8. Loyalist

    Tofauti na SADC iliyoleta Marais 8, Jumuiya ya Afrika Mashariki amekuja Rais Kenyatta pekee kumuaga Hayati Magufuli

    Sasa "ukishapita" utamshukuru vipi Mungu na hali upo kaburini?!
  9. Loyalist

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Pia naomba mwenye wimbo wa: Kurugenzi Jazz Band - Wivu ukizidi. Natanguliza shukrani wakuu.
  10. Loyalist

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba yeyote mwenye wimbo (audio) wa: Brooks & Dunn - My Maria. Nautafuta sana.
  11. Loyalist

    Tundu Lissu ni mshindi

    Mada inahusu lissu sio huko, jibu hoja!
  12. Loyalist

    Tundu Lissu ni mshindi

    Turudi kwenye mada, huyo jamaa kutetea ushoga ndio ushindi?!
  13. Loyalist

    Tundu Lissu ni mshindi

    Umesahau na sifa ya kutetea "ushoga!" Sasa sijui Mungu gani atakuwa na mtu anayetetea ushoga! Nawaza kwa sauti!
  14. Loyalist

    Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

    Mitaa yote uliyoitaja hapa Dar, ndio maeneo niliyokulia mkuu, najiona kama sehemu ya simulizi yako, endelea mkuu, kuna kitu cha kujifunza humu.
  15. Loyalist

    Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

    Kweli wakati mwingine "tetesi" huwa habari za kuaminika, nimeikubali sana jf
Back
Top Bottom