Search results

  1. M

    Kituo cha afya Mahuta Tandahimba kipo hoi kihuduma

    Huduma katika kituo cha afya mahuta kilichopa kata ya Mahuta wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ni mbaya na haziridhishi. Mamlaka zitupie jicho la pekee. Mgonjwa anaweza subiri mapokezi kwa saa mbili bila huduma. Maabara nako ni hivyo. Pia Kuna vyumba viwili tu vya madaktari vinavyotoa huduma...
Back
Top Bottom