Search results

  1. E

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Hii ni aibu kwa watu wanaoitwa waumini, mambo Kama hayo yalistahili kutendwwa na wahuni na sio waumini, aliyetenda kosa hilo ni mtoto, waliofanya fujo ni watu wazima, busara haijatumika hata Kidogo.:A S embarassed:
  2. E

    Tanzanite one mwisho leo

    Leo ni siku ya mwisho ya mkataba wa uchimbaji madini kwa kampuni hii, je vigogo wenye mirija katika kampuni hii watakuwa radhi kuachia sheria mpya ya madini ya vito ifanye kazi? Hofu yangu ni juu ya mikakati inayofanywa ya kuibatiza Tanzanite One kuwa Reachland Resourses, Hiki ni kipimo kwa...
  3. E

    Usaliti wa Wabunge wa CCM kwa wananchi...

    Wabunge wa CCM si woga tu ni wajinga hawajui kilichowapeleka bungeni, inashangaza sana hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kufumbia macho uozo unaofanywa na mawaziri? Jamani wabunge wa CCM mwogopeni Mungu.
  4. E

    Usaliti wa Wabunge wa CCM kwa wananchi...

    Nasikia wabunge wa CCM waliosaini kutokua na imani na waziri mkuu ni watano tu hii inaonyesha kuwa maslahi ya chama chao ni bora kuliko taifa hawa ni wasaliti watanzania tuwaazibu kwa njia ya kura.
  5. E

    Tanzania mpya

    Napenda kujua CHADEMA mnajiandaa vipi kuongoza nchi ifikapo 2015, sina shaka mtapata nafasi hiyo, cause msipojiandaa sasa nadhani itakua ghafla alafu mtachemka.
  6. E

    Namkubali naibu spika mh Ndugai

    Ndugai bomba sana pamoja na manyonge aliyonayo, kila anapoongoza vikao niburudan, zaidi mwenyewe anaeleza hisia zake, tofauti na bi Kiroboto ata serikali ikienda haja kubwa hadharani atafagilia.
  7. E

    Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

    CCM hawana jipya, wamezeeka, wamechoka, kuirekebisha ni sawa na kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya.
  8. E

    Wabunge wa CCM waliounga mkono kusomwa mswaada kwa mara ya pili wazomewe!

    Ukweli ni kwamba serikali ina mpango au agenda ya siri kuhusu huwo Muswaada wa katiba, na inaoneka wazi speaker wa bunge anahusika kusimamia mipango hiyo, hivyo tungeacha uchadema na uccm. tupaze sauti zetu pamoja kwa mustakabal wa future ya taifa letu,
Back
Top Bottom