Search results

  1. L

    Makatibu wakuu CUF na CHADEMA wachukulieni hatua za kuwavua uanachama watu hawa wawili

    ---- kweli. Hao ndio wanatuvunja moyo hakika. Lakini CDM walisema hilo suala wameliweka vizuri kwa hiyo tusubiri hatua zitakazochukuliwa na CDM ama CUF
  2. L

    Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Anaenda wapi kufanya nini? Au ndio anaenda kuongezewa mpunga wa MICCM?? Ameshachelewa. Wana CUF tumeshafunguka siku nyingi
  3. L

    Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    Nothing new. Njaa zimewaleta hapo na hakuna kingine zaidi ya Ngonjera zao tu. Acha niendelee na kazi
  4. L

    Baada ya Lowasa kukataliwa Kanda ya Ziwa, Apson Mwang'onda na Tupa wawasili Bukoba kuokoa Jahazi

    Naapa mbele za Mungu, Lowasa asipochaguliwa kugombea urais CCM inakufa rasi. siwezi kuwa sehemu ya kuwapitisha watu wasio na uwezo kazi kuwaza tu madawa ya kulevya kama dogo kipara na wengineo. Sisi tumejiandaa na Lowasa otherwise RIP CCM my stupid party with less convicing ideologies. Nyie...
  5. L

    Dodoma ngoma inogile, Waislam waapa kutopiga kura, Wakristo wadai watatoka nje

    Sehemu gani katika biblia? Kama hujui ukae kimya uache kusema uongo kafiri mkubwa wewe. Unamfahamu yesu au unamtaja tu kilofa? Nyang'au
  6. L

    Waliohamia ACT warejea CHADEMA Singida

    wakamlambe mwigulu kwanza ------ ili tuone kama watapata walichoahidiwa
  7. L

    Katiba ya BAVICHA yatambua rasmi CHASO na CHADEMA toto kuwa sehemu ya BAVICHA

    nakunya haphapa jukwaani. Kwani kwako hapa?
  8. L

    Timu inamsubiri nahodha tu

    Nhisi atakuwa Mbowe ze DJ
  9. L

    Baada ya Joshua Nassary kujitoa BAVICHA Taifa, Francis Marwa wa Mara ni mbadala wake

    NASSARI kajitoa kwa nini? Eleza kwanza tukuelewe wewe
  10. L

    Kwanini UDOM wamepandisha Direct Cost?

    chuo cha kata hicho na mabo ya kikata pia. Hawana jipya and the issue is they are not systematic at all
  11. L

    Ningekuwa mpiga kura, ningempigia kura Nanyaro BAVICHA

    Unajua watu wengine ni w.a.s.e.n.g.e sana particularly watu wa Lumumba. Inakuwaje mvua inanyesha Arusha wewe unaanguka kwa utelezi Mtwara kama sio unafiki ni nini. Waacheni watu wa CDM wajichagulie kiongozi wao na sio kuwaingilia. Sijui mtakuwa na akili lini enyi wakeketwa wa CCM. Kama mnaona...
  12. L

    Lekule na CCM Longido mmetuchosha,kwa nini mnatufanyia haya?

    wewe mkia nani amekuambia mie mwongo Acheni kukurupuka kujibu msichokijua -------. nimekup evidence hutaki kuamini. mbululaaaaaaaaa
  13. L

    Lekule na CCM Longido mmetuchosha,kwa nini mnatufanyia haya?

    Mods naomba msifute hii thread yangu kwa sababu JF ni jukwaa ambalo hata viongozi wa Longido hutembelea Ni hivi karibuni tumekaribia kufungua one stop center pale namanga ambapo kwa namna moja ama nyingine tutaingia katika ushirikianoi na nchi zingine kama kenya na nchi zingine za Africa...
  14. L

    PICHA: Wenje atikisa Geita, amvalisha Gwanda mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeendelea kuibomoa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), na safari hii kimemchukua aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Geita mkoani Geita, Daud Ntinonu. Kada huyo ambaye pia ni mjumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho taifa, alijiunga rasmi...
  15. L

    Story fupi yenye mafunzo

    Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi letu likawa huru alipoanza maisha yake mwenyewe. Sikuwa najua lolote kuhusu mapenzi...
  16. L

    Zitto afafanua kuhusu deni la Taifa... kila Mtanzania anadaiwa Tshs 488,000

    Mheshimiwa zitto zuberi kabwe amewaeleza maelfu ya wananchi wa iringa na viunga vyake kuwa deni la atiza kklimepanda hadi kufikia trilioni 27 na kila mtanzania ndani ya watanzania mil.45 wanatakiwa kulipa 488,000 hadi mtoto mdogo. Aliyasema hayo huku wananchi wakiendelea kufunguka na kuuliza...
Back
Top Bottom