Search results

  1. D

    Swali moja tu kwa wana UKAWA

    Hivi ingetokea CCM wakampitisha Lowasa ni nani mngempitisha mwenye uwezo wa kupambana nae? Huyu jamaa kwa nguvu na ushawishi alio nakiri hamna mwanasiasa alieko tanzania kwa sasa mwenye uwezo huo. Namnyoshea mikono. Shikamoo Lowasa
  2. D

    Huyo huyo hata kama mwizi! Kura tutapiga sana tu

    Hatudanganyiki. Tumechoka kulaghaiwa. Lowasa mmemfuga nyie, nanyi mkaimba wimbo uleule wa fisadi. Wengine wote mme wa-retain then yeye ndo anakuwa conspicious vile kakataa mfumo wenu wa kupeana uraisi kifamilia. Ufisadi ndo ulimfanya hadi azuiwe kwenda kwenye mazishi? Ndo ulifanya hadi mumnyime...
  3. D

    USHAURI: Dr. Slaa nenda CUF,Chukua form na gombea uraisi.

    Wana jf na wapenda mabadiliko wote,kuna something under the capet. Tuna mgombea mmoja toka UKAWA ambao ni umoja wa vyama vya upinzani vyenye nguvu tz. Out of this hamna chama chenye Mgombea mwenye uwezo wa kupambana na wa CCM. Hivyo CCM wakifanikiwa kumstopisha EL ushindi ni wao 100%. Posibility...
  4. D

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia mpasuko CHADEMA Rombo

    Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni. Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za...
  5. D

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!

    Nimemsikia huyu mkuu wa mkoa kupitia east africa radio akidai Lema alikuwa akihamasisha uandikishaji kwenye eneo ambalo mwaka 2010 ndipo alipata kura nyingi na eneo hilo lina wachaga wengi. Sijapenda tabia hii ya kutaja kabila. Najua alikuwa na uwezekano wa kudeliver speech yake bila ya kutaja...
  6. D

    Kinana ahamishia mkutano katika kiwanja karibu na kituo cha Polisi-stand ya Tarakea

    Ni kwana katibu mkuu wa CCM Abdulharman Kinana anafanya ziara Tarakea wilayani Rombo. Ikumbukwe kulishatokea mgogoro mara baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo CHADEMA walishinda. Kufuatia ushindi huo CCM waligoma kukabidhi ofisi ambapo ulizuka msuguano na kupelekea hadi viongozi wa...
  7. D

    Viongozi CHADEMA/UKAWA hatuwataki hapa jukwaani

    Kuna strategy zimesetiwa kwa kipindi hiki cha mwaka,huku kukiwa na matukio makubwa mawili: 1. Katiba mpya 2. Uchaguzi mkuu. Kwa taarifa za ndani ni kwamba baadhi ya mikakati hiyo ni: 1. Vitisho vitakavyowavuruga viongozi wa chama na umoja wenu. Mojawapo ni mkakati uliosukwa wa kumuua dk...
  8. D

    Uamuzi na msimamo wangu toka mwaka 2000 ni huu

    Ni kwa mtoto mdogo, ama asiyekuwa na uelewa sahihi (akili timamu) wa namna hii nchi inavyoenda sasa. Toka mfumo wa vyama vingi umeanza hapa nchini tumeshuhudia sarakasi nyingi za kisiasa kutoka katika vyama mbalimbali vya siasa. Tumeshuhudia usanii, hila, ghiliba na kila aina ya uhuni...
  9. D

    Kamati kuu CHADEMA angalieni Huu ushauri

    Kamati kuu CHADEMA angalieni huu ushauri kama utawafaa muuchukue,kama haufai basi muuache!BAADA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA: 1. Zungukeni maeneo yote mliopaswa na mlikosimamisha wagombea, fanyeni utafiti wa kina mgundue mmeshinda aummeshindwa kwakiwango gani. Hiiitawasaidia kujua ni wapi...
  10. D

    Peneza outweighed Assenga

    Siamini kabisa kama CCM wote ni wabovu! Ni kupitia kipindi kilichorushwa star tv "vijana na siasa"! Upendo Peneza akihojiwa na Dotto Bulembo ameonekana kuwa vizuri kichwani katika kuifafanua falsafa ya CHADEMA wakati kijana Assenga kajikanyaga sana. Anatudanganya kwamba chuo cha Hombolo...
  11. D

    Anayedhaniwa kuwa Mgonjwa wa Ebola azua taharuki Moshi

    Nimesikia kwenye magazeti asubuhi kwamba kuna mgonjwa wa ebola kalazwa hospitali ya shirimatunda na hospitali hiyo imefungwa na wanafunzi wamezuiwa kwenda shule. Ni kweli wadau mlio huko?
  12. D

    Wametangulizwa Nyani, CHADEMA Msimalize mishale,akaja Swala mkamshindwa!

    Ni dhahiri hawa wanaotajwa tajwa na wenyewe kujitangaza kuwania uraisi kupitia ccm ni geresha tu. Hakuna mgombea uraisi hapo Lengo la ccm ni kuwafanya wapinzani hasa CHADEMA ku "loose the target" na kuelekeza mishale yao kwa "nyani" wasioliwa. Swala yupo ndani ananenepeshwa. Atakavojitokeza...
  13. D

    CCM katika hili lazima mtuambie ukweli!

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio chama kinachoongoza kwa kupewa ruzuku kubwa kuliko vyama vingine vya siasa tanzania. Kinachoshangaza ni kwamba chama hiki kiuhalisia kinazidiwa kila idara na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isipokuwa idara ya polisi na usalama wa taifa. CCM hawana mbinu...
  14. D

    ITV ndo television ya taifa

    Hawa itv wanastahili pongezi. Wana coverage nzuri sana,almost kila kona ya tanzania na hawako biased. Hali ni kinyume na TBC wanaoonesha habari za chama tawala,huku wakipuuzia vyama vingine na shughuli za kijamii. HONGERA ITV.
  15. D

    Swali kwa Mh. Rais, wana ccm na wanaopuuza mchakato wa katiba mpya

    Nilibahatika kumsikia raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania na viongozi waandamizi wa ccm akiwepo waziri mkuu P. Pinda,hali kadhalika kusoma baadhi ya maoni na comment za wana ccm kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kama facebook, na hapa hapa jamii forum kwamba "UKAWA WASIPORUDI BUNGE LA...
  16. D

    Wana CCM,wasaliti na msajili jibuni haya maswali tafadhali

    Tuambieni 1. Ni kwa namna gani UKAWA Wanazuia uchaguzi wa serikali za mitaa wakati ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa hauhusiani na uwepo wa katiba mpya? (kumbukeni target yenu ni katiba mpya kupatikana mwakani na ratiba zilionesha mapema kuwa kunapaswa kufanyika uchaguzi wa serikali za...
  17. D

    Katika hili Nitasimama bila Dini!

    Huwa nasikitishwa sana na baadhi ya viongozi wa dini kutumika kisiasa. Haya hufanyika pale kunapokuwa na viongozi wa chama tawala, sijui ni woga,rushwa au kutetea na kulinda misaada wanayopewa au vipi! Hainiingii akilini kwa kiongozi wa dini alieshuhudia matusi,ubaguzi na kila aina ya majungu na...
  18. D

    CCM tumieni fedha, sisi tutumie akili na utashi kuamua

    Wana jf, Bila unafiki na uzandiki tunajua wayafanyayo CCM katika kupoteza matumaini walio nayo watanzania walio wengi juu ya ukombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu, rushwa,wizi,ukiukwaji wa haki za binadamu, uvunjaji wa demokrasia na ombwe la uongozi bora kwa ujumla. Hila nyingi zinatumika...
  19. D

    Jamani mbona michango ya huyu mwanasiasa imekosa wachangiaji?

    Najiuliza sana sana sana sipati majibu. Ni dhahiri mwanasiasa Zitho Z Kabwe alikuwa akipost chochote kinachohusiana na siasa wachangiaji walikuwa wengi tofauti na ilivyo sasa. Kuna post imewekwa hapa kuonesha mchango wake kwa bajeti inayojadiliwa sasa lakini siamini response iliyopo. Jamani ni...
  20. D

    Kumbe bajeti inayojadiliwa ni ya mwaka wa fedha 2013/2014

    Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo la Rombo mh Joseph R Selasini ambaye ni mjumbe wa kamati ya bajeti ni kwamba wizara ya ujenzi imepitishiwa around bilioni 500 ila wana deni la bilion 800. Kwa maana hiyo fedha hizo zinaenda kulipa deni na bado tutadaiwa. Wakati huo huo katika bajeti...
Back
Top Bottom