Search results

  1. Kambaku

    Simba Queens inajipigia tu Yanga Princess

    Alafu katika wanaume nani anajipigia tu mwenzie?
  2. Kambaku

    Rais Samia, Mauaji ya Mushi, Tafadhali Chukua Hatua Mapema Dhidi ya Uovu wa Polisi.

    Upelelezi wa mtuhumiwa kumkamata Bonifasi na Malisa? Upelelezi unafanywa na mtuhumiwa?
  3. Kambaku

    Kama iliwahi kukukuta, nambie ulijinasua vipi kwenye hili balaa?!

    Na yule mpangaji mwenzio kakujibu hivyo? Madogo mnaanzisha uzi nyingi mno zinakinzana hadi
  4. Kambaku

    Hii mvua inaniletea tamaa ya kutaka kumla mpangaji mwenzangu ila nafsi inasita

    Dah! Au anapata libwana linahamia humo humo
  5. Kambaku

    Kwanini watumiaji wengi wa kinywaji cha Energy ni madereva wa vyombo vya moto?

    Ayuuu shua? Umewafatilia masaidia fundi wewe
  6. Kambaku

    Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Inabidi nijifunze asee. Labda kuna vitu vizuri napitwa
  7. Kambaku

    Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Hivi mbona mi nashindwa kuangalia muvi jamani.
  8. Kambaku

    WA ISRAEL WANAKARIBIA KUMCHINJA NG'OMBE MWEKUNDU. NI ISHARA MBAYA.

    We mzee Acha hizi mambo. Tunaijua dini vizuri tu, amka futa tongotongo kisha umtafute Yesu wa kweli. Achana na mang'ombe yako mekundu sijui mausi hayo.
  9. Kambaku

    Hii mvua inaniletea tamaa ya kutaka kumla mpangaji mwenzangu ila nafsi inasita

    Hayanaga formula haya makitu jomba. Unaweza ona kameelekea kibla kabisa ila ukikaomba utashangaa kanaruka maili mia tisa kanakujazia nzi. Sema kama kweli unakataka, usianze kutaka kukala, jibebeshe kwanza hayo majukumu ya luku na kubeba uchafu kama miezi 3 hivi kisha utashika mkono tu kukalaza...
  10. Kambaku

    Mataa ya kuongoza magari yanasababisha foleni

    Kumbe hatuchekani mwamba.
  11. Kambaku

    Baba wa nyumbani!

    Wakati haya yanatokea alikuwa anapewa tendo la ndoa au hapewi?
  12. Kambaku

    JE KWENYE SHEREHE KUBWA ZA KITAIFA HUTUWEZI ONYESHA UBUNIFU WOWOTE TULOUFANYA KAMA TAIFA ,ZAMA HIZI ZA TENKOLOJIA?

    Unachezea ugunduzi wetu wa kuiba kura wewe! Uliwahi ona taifa gani lingine wagombea wote wa upinzani wanaenguliwa kwa kutojua kujaza forms? Kwann hutaki kutupatia maua yetu.
  13. Kambaku

    Mataa ya kuongoza magari yanasababisha foleni

    Mkuu samahani siulizi kwa ubaya, wewe una gari? Mataa hayana shida kabisa. Tatizo ni pale trafiki wanapoyaingilia na kuanza kuoendelea upande mmoja Kwenye round abouts nakuunga mkono. Huwa ziko bomba sana
  14. Kambaku

    Tanasha Donna afanya oparesheni ya urembo wa mdomo

    Sasa mbona ndio kawa mbaya kuliko kabla?
  15. Kambaku

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    We jonalisti vipi asee. Husemi mwanafunzi wa kike au kiume, tarehe umeigeuza pia
  16. Kambaku

    Polisi hawamtafuti tena aliyemuua Mushi, bali wanatafuta wanaosema Mushi ameuawa

    Kwahiyo akikimbia muuwaji polisi hawatakiwi kumtafuta? Wiki nzima dogo anatafutwa na watu wameenda hadi vituo vya polisi kuulizia wanaambiwa jeshi halina taarifa zake kisha unambiwa alikuwa mortuary ya polisi wiki nzima! Kwahiyo hata watu walio katika mortuary zao hawajui?
  17. Kambaku

    Paul Makonda amekutwa na nini? Kapoa ghafla!

    Au Lukasi ndio Konda?
  18. Kambaku

    Rais Samia Atoa Helkopta kwa Mawaziri Kutafuta Ufumbuzi wa Miundombinu ya Barabara ya Liwale - Lindi

    Hivi hata kuwapa mawaziri chopa ni hadi wapewe na Rais??? Hii nchi uchawa umefika stage kubwa sana. Chopa ya jeshi mawaziri kwenda site unasema wamepewa na Rais. Badala mpeleke mainjinia hata hivyo mnampeleka Ndejembi. Ujinga mtupu..
  19. Kambaku

    TANAPA yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato, CHADEMA wapinga

    Nyota 5 chato??? Ujinga hautaisha nchi hii. Shida kubwa nchi hii watu hawana uchungu na mali ya Taifa. Nina imani kabisa hao Maboss wa Tanapa waliopitisha huo ujenzi ukiwaambia wakajenge chochote kwa hela zao binafsi toka mfukoni hapo chato watakataa ila kwa sababu ni hela ya serekali wanaona...
  20. Kambaku

    Dinari Kuwaiti: Ndio Sarafu Imara Duniani na Njia Tanzania Inaweza kufuata ili Kuifikia

    Mkuu njia pekee ya kuifanya shilingi ya Tanzania iwe na nguvu ni kuweka viongozi waadilifu na wenye weledi fullstop!
Back
Top Bottom