Search results

  1. R

    Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

    Zito ninani ndani ya chama chenye wanachama lukuki? Nashauri cc imnyanganye kadi haraka.
  2. R

    Natangaza rasmi...

    Naipongeza kamati kuu ya chadema kwa maamzi yaliyofznyika. big up
  3. R

    Mkutano wa CHADEMA Mwanza,leo tar 15.8.2013

    Makamanda tunawatakia kila la her katika mapambano haya makali. tulianza na mungu
  4. R

    Dk Slaa afunguka

    Teh teh teeeeeeeeeeeh, hujui kama hao ndio watakuwa wenyeji wa wajumbe wa M4C? teh teh teeeh, pole sana
  5. R

    Maandamano ya waisilimu yakosa baraka za polisi

    Wana JF maandamano ya waisilamu kesho hayana baraka za jeshi la polisi. Je viongozi na wafuasi wengine waliohusika kuratibu maandamano hayo watakubaliana na hilo? Nawasilisha. Chanzo: TBC usiku wa habari live.
  6. R

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    ZITTO must be fired if the evidences shall provide proof beyond reasonable doubt. Itakuwa fundisho kwa vibaraka wengine wenye kughiribiwa na magamba kwa lengo la kurudisha nyuma jitihada za CDM za kuwakomboa watanzania wanyonge kutoka mikononi mwa mafisadi wasio na huruma.
  7. R

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Ni tamko sahihi lilotamkwa kwa wakati sitahiki maana bado tupo ndani ya kipindi cha matukio ya machafuko. Lengo la baraza hili la kikiristo ni kuweka bayana msimamo wao kwa mambo yaliyojiri kabla ya kuanza ukurasa mpya wa mienendo ya kimaisha kwa mwaka 2013.
  8. R

    Matokeo ya darasa 7 kitaifa yachukua sura ya mtihani wa mock mkoa

    Ndugu wa JF Haijawahi kutokea serikali kutumia matokea ya mock mkoa darasa la saba kufanya selection, mwaka huu hilo limefanyika. Je huko ni kutatua tatizo au kuendeleza udhaifu? Je wanaweza kutatua tatizo kwa kuficha ukweli? Nawasilisha
  9. R

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Mimi naamini kuwekwa wazi mapema mikakati hii hatari ya ukwamishaji wa ukombozi wa mtanzania mnyonge in ishara ya ushindi kwa CDM. Dr Slaa na Mbowe big up sana. Haya ni matokeo ya uongozi wenu dhabiti. Haya masilia yote na kiongozi wao akiwemo wanapaswa kuwekwa kando wasipewe hata uongozi ngazi...
  10. R

    Kamanda Kamuhunda awageuka wakubwa...

    Napita tu, lakini Mungu mwenye uweza wote atayadhihirisha yote yalinyuma ya pazia, siku yaja.
  11. R

    TSD kufutwa na majukumu yake kukabidhiwa kwa wakurugenzi

    Siafiki tsd kufutwa, hiyo yote inatokana na serikali kugundua kuwa tsd ndiyo dira ya walimu kujua haki zao za msingi. kwani wakurugenzi wao huhimiza wajibu tu na pia wanapokea amri toka juu kwakuwa wamepewa nafasi hizo kwa maslahi ya waliowapa ulaji huo.
  12. R

    Wenje na Highness wabunge CHADEMA MWANZA, msiidhalilishe CHADEMA

    Ni vigumu kuwalaumu wabunge, lakini si busara pia kuwatetea. Kitu cha msingi hapa ni kujua pesa zinazokusanywa kutoka vyanzo vya ndani na zile zinazo top -up toka kwa wafadhili au serikali kuu ni kiasi gani na zinatumikaje. Ninavyojua mimi nchi hii yote si MZA pekee inakabiliwa na changamoto...
  13. R

    Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutano wa JK na CHADEMA!

    Kipepeo acha ujinga na ushabiki, unafikiri mazungumzo ya CDM na JK ni kwa manufaa ya nani kama si ya watanzania wote including you wanaopenda kuliona taifa lao likiendelea mbele kwa ustawi wa watu wake?. Vinginevyo kama kuna kamisheni unapata kutoka kwa wanaokutuma kuandika ujinga endelea...
  14. R

    Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutano wa JK na CHADEMA!

    Kipepeo acha ujinga na ushabiki, unafikiri mazungumzo ya CDM na JK ni kwa manufaa ya nani kama si ya watanzania wote including you wanaopenda kuliona taifa lao likiendelea mbele kwa ustawi wa watu wake?. Vinginevyo kama kuna kamisheni unapata kutoka kwa wanaokutuma kuandika ujinga endelea...
  15. R

    Igunga - mpaka sasa Kashindye kachinjiwa ng'ombe 12 za pongezi

    Kashidye kwakuwa ni mtu wa watu hakula peke yake, angekuwa Dr Kafumu angebeba kwenda kulia DSM kama walivyofanya sherehe ya kumpongeza. Kura wapige wana Igunga, sherehe wafanye watu wa DSM wapi na wapi?
  16. R

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Pole sana, unaonekana uko nyuma ya wakati, kwani viashiria vya nyakati huvitambui. Kamanda Mbowe hayuko kama unavyomfikiria. Ninachojua nuru na giza kamwe havifungamani kwani CCM ni giza CHADEMA ni NURU. Lakini siku zote watu wenye akili timamu huipenda nuru na huitukuza pia. Mbowe endelea na...
Back
Top Bottom