Search results

  1. T

    Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

    Sina hakika kama ni kweli wazir anafahamu hata huyo ghalama ya kumsomesha huyo bingwa fahamu haya ndo matatizo ya kupeana nafasi katika uongozi kwa kuzingatia ujamaa zaidi badala ya utendaji na uwezo zaidi matokeo yake mwisho wa siku ndo tunapata wapokea mishahara wasio na faida kama hawa labda...
  2. T

    Kama mimi mwenye degree nikikosa ajira ya muda ya sensa,je itamaanisha nini?

    kuwa na degree haimaanishi ndo yule mwenye form four ndo akose hata kazi iliyo ndani ya uwezo wake ila nisichokipenda mimi ni kuona eti first priority wamepewa tena watu ambao tayar wanaajira kwani sisi jamaa wenye elimu ambazo zilikuwa zina uwezo wa kutupatia nafasi hata katika sensa tu...
  3. T

    Harakati za Chadema na mbinu za kuchukuwa dola

    sisemi kama jamaa yuko sahihi ila ni vyema hta wewe ukafikiri au kuchunguza kabla hujasema ni post ya kipuuz ila kama ulifanya hivyo basi uko sahihi and i can lyk ya coment!!!!
  4. T

    Vya kiume

    hata kama hawa jamaa mnasema ni mavictim wa malez ila mi siwez kuwaunga mkono hata kidogo kidogo kwan ubaya wa malez tunaupeleka kwa wazazi wao ila kwanini wao washindwe kukaza hata kidogo kwani walisahau kuwa wao ni watoto wa kiume? achana na hayo hata kama hawa wapumbavu wwaliharibikia...
  5. T

    Wabunge na Elimu ya shahada (Degree)

    definitely yes problem hapa sio elimu bali ni uadilifu kuna wachumi wanasheria,waganga walio bobea lakini kwa kukosa uadilifu wamejikuta wakimezwa na ujinga wa kupitisha bajet kwa ushabiki sasa hii utasema unahitaji elimu gani kujua kwamba huu ni ujinga?
  6. T

    B.E.T Music Award 2012 in Pictures

    Siku ambayo J zee atakapoambiwa amtoe kafara Blue Ivy ndipo atakapogundua kuwa ufreemason sio dili!!
  7. T

    Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala

    Mother f**** Thats the babilone idea hasa napoona mwanamke ndo anayetetea kupoteza hiki kizazi kwa kusuport umalaya!!!!
  8. T

    Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

    Ila kajaaliwa hayo ma!!!!!!
  9. T

    CCM yamwaga Mamilioni kuivaa CHADEMA; Watu wasombwa kwa malori

    Sikio la kufa halisikii dawa!!
  10. T

    NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

    Kuwandalia usafir wanachama wetu c jambo baya jamani lakini kwani tunaruhusiwa kupanda malori? Au hii ni test kwa jeshi la polisi kutoka kwa hiki chama chetu kilichoshikilia dola? Au ndo tunataka kuwaonesha hao jamaa wa vyama vingine kuwa dola ni yetu?
  11. T

    Mitihani ya UE kusahihishwa TCU.

    Umesahau kama still utabanwa katika CW kiasi hutosha hata mark za kukuwezesha kufanya hata hiyo UE yenyewe?
  12. T

    Hasara na faida za kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto

    Labda uweke sawa hapo kidogo kuhusu huko kutimba ni kiaje? oz kama ni kuja tu kwa sababu za kimalezi there is no need ya kuwa na wasi hapo hasa ukizingatia kama ulikuwa makini kipindi kile ulipokuwa unaoa na ndo maana wazazi wetu wanasisitiza umakini mkubwa sana kuhusu mpango mzima wa kuwa na...
  13. T

    Mtoto anusulika kuliwa na Simba bahari zoo Dar es Salaam

    kwan mkuu mbona kajieleza vizur kuwa kutokana na mishe mishe zilizokuwapo hakufanikiwa kupata picture.......jamaa hana professional ya uandish wa habar coz angekuwa nayo inamaana angeacha pia mawe simba na angekuwa anakomaa tu na camera yake na hatimaye pengine jiwe lake ndo limemwwondoa simba...
Back
Top Bottom