Search results

  1. I

    Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

    Umenikumbusha kitabu cha shamba la wanyama,I really love the book as it simply depict the equality btn our govt and it's citizen.mkuu nakukubali umenena.
  2. I

    Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

    Pls my thought a now coming true that we don't have Rais na the prime minister!kweli viongozi wa juu serikalini wamelewa madaraka.migomo ndio suluhisho komaa hadj mwisho.mfano:Kenya doctors are highly valued as professionals ila Tanzania tunapumbwazwa eti Amani!Mbona hawatumii hio amani kutatua...
  3. I

    Regia Mtema kuzikwa Jumatano Ifakara

    R.I.P Regia mtema.pls I confirm to attend.I hope to be in moro tomorrow from simanjiro where I have postponed my trip to attend the burial of our beloved Regia.
  4. I

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    labda uraisi wa macameroun hakuwaelewa vizuri.
  5. I

    Madaktari wa mhn walipwa posho zao

    ushauri wa bure kwa serikali;futeni hizo taratibu na michakato coz imedhihriika wazi kuwa haina faida maana imefikia hatua mbaya mpaka katika uhai wa watanzania mahospitalini mnasema ni taratibu serikali na kesho CAG akipita tunasikia mabilioni ya hela yamepotea na maelezo hamna!!!hongereni...
  6. I

    Ndugai amvaa Sumaye, asema hana usafi wa kubeza posho!

    duh!dr bana!!!ndugai!!msomi ***** anachumia tumbo na anatumia masaburi kufikiria na kutoa ushauri wa kisomi na juzi juzi nilimuona tbc akijikomba kwa mukama badala ya kushauri.ndugai yy hata sitaki kusema coz alishaanza siku nyingi,kutoa mke wake wa pili kongwa hosp.na kumpeleka wizarani,jimbo...
  7. I

    Ngeleja aibomoa kambi ya CHADEMA, Wenyeviti, Makatibu watimkia CCM

    ndugu yangu naweza toa vitibitisho humo jinsi hawa watu wameshawishiwa tena na nani katumwa kusuka hii deal ili Ngeleja apata pakutokea baada ya kunuka kila kona nchi nzima.hongera waziri umefanikiwa lakini najua wenzako humu jamii forum na kwingineko wanafurahi lakini wewe binafsi huna furaha...
  8. I

    Tumewagaragaza CCM

    Tunashukuru ila maendeleo kwa serikali hii ya magamba iliofilisika itakuwa ngumu labda u wait fours after inauguration of Dr slaa our next presda.
  9. I

    Dk. Magufuli ajitosa Katiba Mpya, awabeza CHADEMA

    Nafikiri magufuli apewe uenezi sababu Siku tangu aitwe dr.sio yule mchapaka kazi aliyejulikana ndani ya harass la mawaziri!mh.unakera sana na siasa za Maji taka zenu na zaidi Siku bidi hufanyi kazi unajipendekeza kwa maboss .
  10. I

    Mnyaa athibitisha kuwa CUF ni CCM B!

    Mm ni mwananchi wa kawaida nisifungamana cha siasa kile ila it's true in this context of discussion that we not consulted if u believe like Ur fellow that the constitution is meant for us and not the govt!!!!! Pls it's obvious u will say am a chadema member but we passed our sincere cry to the...
  11. I

    Ombi la TANESCO.

    Duh Kama nikuhama nchi wakati ndio huu jamani!juzi tu wameongeza kwa wale wanaotumia zaidi ya unit 50 kwa mwezi tena Leo wanataka nyongeza?mm namshauri Mheshiwa Mhando kwanza asafishe wafanyakazi wake wengi wanahujumu shirika na majina tunayo Kama anataka tutampa then ndio atwangalie sisi...
  12. I

    Ombi la TANESCO.

    Duh Kama nikuhama nchi wakati ndio huu jamani!juzi tu wameongeza kwa wale wanaotumia zaidi ya unit 50 kwa mwezi tena Leo wanataka nyongeza?mm namshauri Mheshiwa Mhando kwanza asafishe wafanyakazi wake wengi wanahujumu shirika na majina tunayo Kama anataka tutampa then ndio atwangalie sisi...
  13. I

    Mdahalo Movenpick unataka kuhudhuria ?

    Natamani ningekuwa dar ningehudhuria hip mdahalo.
  14. I

    Wabunge wanawake wa CCM?

    Ndugu zanguni wanajf, Hivi huyu VGL yeye anatumia nn kufikiria au ndani ya masaburi???wabunge wanawake ccm pia na cuf wanatetea ndoa zao hata huyo kilango wa jituu patel
  15. I

    Machali awaendesha puta wabunge wa CCM Bungeni!

    Hongera mh. Machali ukweli wananchi tunaona na tunafuatilia kwa makini sana.ukweli ni kwamba wabunge wengi hasa wa cmm nashangaa wanashindwa kujikita kwenye tatizo badalake wanakalia vijembe.big up
  16. I

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    "Mkigoma" nadhani Mjinga akielimishwa anaelika lakini mpambavu Kama wewe ni vigumu sana.
  17. I

    Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

    Sometimes I wonder where we are heading in this tz full of honey and milk?Tatizo serikali jamani tusijidanganye kutafuta mchawi mwengine!
  18. I

    Tcu wapewe meno elimu ya juu

    Habari wanajf, Jamani mimi kama mlezi wa ndugu yangu anayesoma chuo cha sayansi na tiba IMTU,nimejionea kwa macho yangu uozo na wizi unafanywa na mwekezaji wa kihindi kama viginard foundation??chuo hakina hadhi ya university?cha ajabu majengo ni ya NHC,wahadhiri ni wa kitanzania ukiacha wawili...
Back
Top Bottom