Search results

  1. S

    Msaada. Camera ya simu inatoa picha zimegeukua

    nimeweka Jellybean 2.3.6 kwny Galaxy Y shida nikipiga picha znatoka zmegeuka upande nisoutaka, Seting za camera naona Zipo Okey, msaada wako Tafadhal
  2. S

    Msaada kwenye dekoda ya wiztech mpeg 4

    nimetumia MediaCom mda mref sana. leo nimepata WizTech mpeg 4, dish ft 6 lnb ya local na KU ya nigeria na ile ya kenya. Tatizo nililonalo ni MAJINA YA SATELITE ZILIZO NA LNB SIZIONI, NAHITAJ NIONE intelsat 906, nss 12 e na Ku pass 7 / 10 kama ilivo kwny MediaCom mpeg2...
  3. S

    MSAADA KWENYE DEKODA ZA (FTA) FREE TO AIR. mpeG 4 na 2

    Wakuu hizi dekoda nimeona kuna sehem ya kuweka kadi. matumizi yake hapo huwa yakoje, naomba ufafanuzi wa kitu hii
  4. S

    MSAADA KWNY PLAY STORE YA Galaxy S Duos ANDROID 4.0.1

    nina Galaxy Duos GT S 7562 ina 3G ila play store inahtaj Wi-Fi ndo ifungue, pia WhatsApp inagoma kudownload naomba suluhu la haya matatizo
  5. S

    Msaada wa haraka kwenye satelite finder meter

    Naomba kufaham Hatua Muhim za kufata kutegesha Dish La Tv kwenye Satelite Husika nikiwa Na Satelite Finder Meter. mfano: Ku Eutelsat W4. 36.0°E
  6. S

    Msaada: Dish dogo gulf star futi 3

    nimepata gulf star na dekoda ya Mpeg4. kwa FTA ni Position gan tapata Chanels Nzuri za Local? mwenye ufaham anitajie position na baadh ya Chanel nzr tazoweza kuzipata. ktk hili dish dogo.
  7. S

    Janga lililonipata kutokana na kukatika kwa mtandao wa vodacom

    Tuangalie madhara tunayopata kwa kuutegemea mtandao mmoja wa simu./ aina moja ya mawasiliano ya simu.
  8. S

    Lnb iliyokua na k24, kbc, family tv

    hapa pamekua hakuna kituo hata ki1 sasa, MSAADA hii lnb niiamishie wapi mrad ifanye kazi sio iote jua bure hapo juu
  9. S

    Kurudisha data zilizofutika kwenye memory card

    wakuu nipatieni Msaada wa Software na namna ya kuitumia kwa ku recorver data zilizofutwa kwenye SD card.
  10. S

    Mwenyekujua zilipo Luninga Hizi

    ni Muda sasa umepita kwa dish za kawaida tulikua tukipata ktk uelekeo wetu huu wa East kuku2mia Ku-Band na C-band. sasa signal zipo, Picha hatupat. Tbc StarTv Agape Tv Tv Imaan Kbc1 Nollywood
  11. S

    MSAADA KU_log out FaceBook app kwenye VODAFONE 555

    ndugu zangu hii Vodafone app ya facebook nimepekua sijaona paku-log out msaada kwa mwene ufaham
  12. S

    Satelite ZA Tv ZINANICHENGA HAPA

    naomba mtaalam anisaidie nina futi 6, lnb 3. kU mbili na Cband 1 mwanzoni zote zilifanyakaz pamoja, sasa nikipandsha ile beam napata ku ya k24 na C ya ITV. nikishusha kdg napata ile Emmanuel hizi k24 na Itv zinakata, na utofaut uliopo kwenye beam navopandsha na kushusha ni inch 1...
  13. S

    zipo wapi Tv Tumaini, c2c , Mlimani TV, cTn, nk...!

    umepita muda sana hakuna taarifa juu ya vituo vya Mlimani Tv, C2C, CTN, Tv Tumaini nk.. mwenye kujua upatkanaj wake atupe myeti
  14. S

    Msaada kwenye dekoda ya mpeg 2 fta

    wataalam nisaidie namba za chanel ziruhusu chanel kuhama, hapa kwenye remote control niki bofya 6 ktk scren inaandika 6 ila haibadili station iliyopo na kuifata statn iliyo ktk namba hiyo. napata taab kushft kutoka 88 kuja 5
  15. S

    upo wapi. U-digital kwenye vituo vya radio?

    hebu niulize leo maana sijaona badiliko lolote la ki-Digital kwa vituo vya radio, hakuna hata kituo ki1 kilichoongezeka kwenye satelite zaid ni zilezile 12 tulizokua nazo mwaka jana. na nchi inaradio lukuki...
  16. S

    freq za Citizen Tv, KbC1, Trenet na Clouds Tv kwny position hii ya local chnl

    naombeni freq na symbol rate za Citizen, na Trenet kwny position hii ya local chnl- nilkua na Kbc na wbs ya uganda ktk KU, sasa zimekata zaid xa mwez na signal zipo
  17. S

    Msaada wa haraka sana kwenye ungo wa digital.

    waungwana mnisaidie 3 frequenc za Trenet na CloudsTv, kunawatu wanaziona FTA nimejarjb Nimepata tv Imman tu. na zile 5 zilizosajiliwa. Pia nilkua napata KBC1 na WBSTV ktk 'KU' niloifunga chini ya C band yny loko chanel msaada wenu watu wa kukwea mabati ya watu
  18. S

    local chanels TV za kwenye C band

    napenda kufaham hadi leo hii kwenye ungo wangu wa C BAND positition Hii ya Intelsat nayopata ITv. local chanelz zote zitaingizwa hapa au, hadi sasa ni zipi zinazopatkana humo?
  19. S

    wataalam wa websites

    blog nyingi zimenunua domain ya .com wanachaj kias gan na wanapatkana vp hao nasi tuachane na wordpres/blogspot
  20. S

    Intaneti ya ANDROID inapasua ubongo

    waungwana msaada waku set internet kwenye galaxy young by default netwk. kama nikiweka zantel, tigo nk nisihangaike ku set
Back
Top Bottom